Nimewaasa vijana ambao hawapendi ukweli.Hakuna biashara isiyo na RISK..unaweza kufungua duka lakin likaungua moto au ukafilisika...acha wivu mkuu
Sijakuelewa kabisa.Nasikia Forex, Nadex sijui nini.
Naona wengi wamemezwa na kampeni hiyo waki haidiwa kutajirika haraka.
Nakuasa kijana wangu, hakuna pesa rahisi, kila pesa ina jasho.
Ewe mwenye vipesa vyako vidogo usiingie kwenye biashara ambayo huijui na hujawa tayari kuipoteza hiyo pesa yako.
Huyo anaefanya kampeni ya Forex bado anakuambia analima na kufuga. Bado anakuambia forex inamuingizia mamilioni ya pesa. Kwanini asiachane na kilimo ambacho pesa yake huchukua muda mrefu kurudi?
Forex ni kama betting, ni km kamari tu, unapaswa kuwa na fedha ya ziada ambayo hata ikipotea huko haikuumizi kichwa.
Lakini kama ndio unategemea forex kama biashara yako ikutoe kimaisha, ikulishe, basi unapotea.
Sisemi hivi kwasababu ya chuki, au wivu, bali nakueleza ukweli kwamba usije piga kelele humu kuwa umepoteza muda na.pesa zako huko.
Nakuasa tena kijana, kama umeamua kuwa mfugaji, mkulima, muuza duka, mchuuzi, nk endelea na biashara yako.
Hizi biashara za kuaminishwa kuna ela na kutajirika kwa haraka hamna kitu kama hicho.
Hakuna biashara rahisi, nawachana live, atakae pasuka, nuna, atajua mwenyewe.
Ukweli Mezani.
Naweka Kumbukumbu sawa!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu, mtakuja huku kulia lia.Hata ulipomuoa mkeo urisk kwasababu hukujua kama atazaa watu kama wewe hata kwetu wapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona timu ya kampeni mmejipanga vizuri kula pesa za watu.Sijakuelewa kabisa.
Unasema hakuna pesa rahisi. Alafu hapo hapo unawachagulia vya kufanya!!!!!!!
Labda nikuambie kitu ndugu yangu, dunia ya leo inabadilika. Watu wanaenda na technology. Yaani hata uoto wa asili nao unabadilika.
Hatuna budi kubadili mifumo ya kufikiri pia.
Ni kweli forex ni ngumu ukiwa ndo unaanza. Ila ukishaizoea ni rahisi sana. Nina kama miezi minne sasa tangu niijue forex. Lakini naiona kesho yangu ikiwa kubwa.
Forex ni biashara kama biashara nyingine. Inahitaji muda, umakini na adabu. Hivyo usiwadanganye watu kuwa ni kamali.
Hata darasani hakuna somo rahisi. Lakini cha ajabu ni kwamba, lile somo unalofeli wewe, ndilo analofaulu mwenzako.
Mbali na yote, forex is not for everyone
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna timu ya kampeni mkuu hapa.Naona timu ya kampeni mmejipanga vizuri kula pesa za watu.
Naomba uzi huu uje kuwa fundisho kwa wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
wabongo waoga sanaHakuna timu ya kampeni mkuu hapa.
Nipo kuusema ukweli.
Forex ni maisha kama ukitia nia na kusema unaweza.
Kama ni ugumu, hata kilimo ni kigumu.
Hivyo basi, inabidi tufundishane adabu na uvumilivu kwenye mafanikio.
Labda wewe ulilipokea kwa njia ya tofauti hili suala la forex. Ukadhani utakua tajiri baada ya wiki moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania ni wepesi sana kusahau. Kipindi cha Deci ulikua humwelezi mtu asicheze akakuelewa. Hii thread itabaki kuwa reference.,Nasikia Forex, Nadex sijui nini.