Twande
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 543
- 172
Jamani kweli kuna wakati tunazaa kuondoa maradhi tumboni!! Kijana kamuua mama yake huko tabata kisa alikuwa anataka nyumba wanayoishi iuzwe familia, mama, na kijana wake mwingine ambaye alikuwa ni bwanaharusi mtarajiwa walikataa, bwanaharusi akamwambia mama atakosa mahali pa kuishi!
kijana kwa hasira akawambia atawachinja mmoja baada ya mwingine..kweli baada ya kuisha kwa harusi the following week, kamtuma housegirl dukani, akamchinja mama yake...
Houseg kutoka dkn kamkuta kashika panga mkonon shat lina damu! Na kumwambia ole wake aongee chochote akakae jikoni! na kufunga chumba, hsg aliposhtuka muda unaenda ndo akashtua majirani, mpaka majirani na watoto wengine wa uyo mama waliopigiwa simu walipomkuta kalalia mto, damu zimejaa sakafuni, akisali sala zake za mwisho kwa maumivu makali!
Kumwinua jeraha shingoni na mgongon!!
My God! Mama wa watu amekufa anajiona..kumkimbiza hosp akafia njiani... i have a relative who is a friend of that family and gazeti la amani wametoa leo in detail!!
It is shocking!! And uwezi amini ndani ya familia tunavochanganyika na watu ambao wamembeba shetani live mikononi!! Dunia inaenda wapi hii ee mola!! Mama wa kumzaa..
Ilaze roho ya marehemu pema peponi amina!!