Kijana aliyemtusi Rais, Isaac Emily ahukumiwa jela miaka 3 au kulipa faini

hps300

Senior Member
Feb 20, 2016
170
152
Mh-4-620x308.jpg


Mahakama Arusha imemuhukumu Isaac Emily jela miaka 3 au kulipa faini ya sh m7 kwa kosa la kumtukana Rais Magufuli kupita ukurasa wake wa Facebook.

Isaac amekubali kulipa faini.
 
MAKOSA MTANDAONI: Mahakama Arusha yamhukumu Isaac Emily jela miaka 3 au kulipa faini ya Sh7m kwa kumtukana Rais Magufuli kupitia Facebook. Akubali kulipa faini.

Chanzo: Gazeti la Mwananchi
 
Always what you cultivate, you will earn the same,
Mkiambiwa acheni matusi, uchochezi, chuki zisizo na maana, na mihemko hamtaki kuelewa kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni (freedom of expression ) ona sasa, walio nyuma yake sidhani kama wataingia Atm kutoa pesa ya kulipa hiyo faini zaid ni yy mwenyewe!!
 
Back
Top Bottom