Kijana aliyefariki mwaka 2013 akutwa akiwa hai katika nyumba ya mfanyabiashara mkubwa

IMG-20160328-WA0004.jpg
 
Nimejiuliza mengi kutokana na hii picha inayozunguka kwenye mitandao.
Huyu kijana inasemekana alikufa 2013, kakutwa juzi (mwaka huu 2016) nyumbani kwa mfanya biashara.

Sasa hii picha inaonyesha tarehe ya mwaka jana, 2015. .. Je ni huyo tajiri alimpiga picha mwaka jana?

Nahisi kuna jambo haliko sawa. ......


Kweli mkuu hapo kwenye tarehe na mwaka wa hiyo picha utata mtupu.

Kufa 2013

Kakutwa 2016

Picha hii ya 2015

Nani alimpiga hapo katikati?
 
Kweli mkuu hapo kwenye tarehe na mwaka wa hiyo picha utata mtupu.

Kufa 2013

Kakutwa 2016

Picha hii ya 2015

Nani alimpiga hapo katikati?

hiyo mbona kama photo shop wakuu hebu angalia ukuta na mguu wake upande wa kulia afu ni kama hajakaa hapo chini anaelea
 
Back
Top Bottom