Kijana afariki akidaiwa kujirusha toka ghorofani. Polisi wakanusha kwa kuwa mazingira hayaendani

Acha kutetea upuuzi we kiazi , we hujui unachoongea watu wanastaafu na miaka 60 na bado hawalipwi pensiรณn zao ,

Serikali ya Tanzania ni ya kipumbavu na kitapeli .
 
Acha kutetea upuuzi we kiazi , we hujui unachoongea watu wanastaafu na miaka 60 na bado hawalipwi pensiรณn zao ,

Serikali ya Tanzania ni ya kipumbavu na kitapeli .

Ubora wa ubongo wa mtu unaakisiwa na ubora wa kauli zimtokazo kinywani mwake. Ubongo hafifu hautarajiwi kuwa chanzo cha kauli zenye staha na hekima. Zao kuu la ubongo hafifu ni jazba na matusi!

Sio kosa lako; hiki ndiyo kipaji chako!
 
Huyo kajirusha kutokana na mambo ya kishirikina. Kwa taarifa yako, siku hizi teknolojia ya uchawi imeboreka kiasi kwamba zile mbinu za zamani. Siku hizi unajiua mwenyewe tu.

Kwa huyo kijana ukiangalia kwa makini, hana jeraha wala hakuna damu.
Mkuu hebu rudia kusoma ulichoandika, yawezekana umekosea
 
 

Attachments

  • Screenshot_20190514-215129.png
    108.6 KB · Views: 17
Umeeleza mambo mengi ambayo msingi wa swali langu uko palepale! Sihitaji kwanza kujua mifuko inafanyaje kazi! Kwanza nakubaliana na dhana/nadharia ya pensheni! Lakini pensheni inayomnufaisha mtu lini ndio issue hapa! Pension ni linient sio fixed ndg ndio maana unakuta kuna mikopo kabla ya kulipwa pension, kuna sijui fao la kukosa ajira, kuna withdrawal of contributions hizi zote zipo kabla ya siasa kuingia kwenye mifuko nk its illusion to predict life of a Tanzanian after 55! Naomba nikuulize swali Mona tu ukinijibu hili nitakubaliana na wewe!

Swali: kijana wa miaka 30 ameacha kazi baada ya kufanya kazi miaka 6 serikalini na ameamua kujikita ktk personal business maisha yake yote na kujiondoa kwenye uchangiaji ktk mifuko ya hifadhi za jamii. Wakati akiacha kazi alikuwa amechangia tsh milioni kumi. Je pensheni itakayokokotolewa atakapofika miaka 55 itamsaidia kupunguza stress za maisha au hata kutatua mambo yake ya msingi????

Mwisho ningependa kukurudisha nyuma kutafakari msingi wa mabadiliko haya! Ni muhimu kujua kwanini mabadiliko haya yalifanyika! Hapa ningetaka kujua motive sio sababu tuu za mabadiliko ya kikokotoo.
 

Nadhani unachanganya mambo, kwa sababu retirement plans unazozilalamikia nazo kuna wakati zilichanganya mambo.

Duniani zipo aina kadhaa za retirement plans/pension schemes. Sitaenda kwa undani sana, lakini itoshe tu kusema kwamba miongoni mwa hizo plans zipo plans ambazo ushiriki wake ni wa hiari na zipo ambazo ushiriki wake sio wa hiari. Retirement plans za serikali ni mfano wa retirement plans zisizo za hiari na retirement plans za waajiri binafsi ni mfano wa zile za hiari.

Kwa sababu ya ushiriki wa hiari, retirement plans za hiari zina flexibility kubwa. Kwa kawaida unaweza kukopa kutoka kwenye account yako. Unaweza hata kuomba early distribution ingawa kuna penalties za kufanya hivyo (with some exceptions). Nadhani hizi ndizo aina ya retirement plans unazozungumzia.

Retirement plans zisizo za hiari (za serikali) hazina flexibility unayoizungumzia. Ushiriki wake ni wa lazima, uwe umejiajiri au umeajiriwa na mwingine. NSF na PSSSF sio mifuko ya hiari na (kwa kawaida) haipaswi kuwa na hiyo flexibility.

Mwisho, napenda ieleweke kuwa sipo hapa kuwatetea NSF na PSSSF pale ambapo wameshindwa kulipa mafao kwa participants wao kwa mujibu wa sheria. Hilo litakuwa tatizo lao; hawana mtu yeyote wa kumlaumu isipokuwa wao wenyewe!
 

Sipati picha angejirusha nchi ya UARABUNI, utasikia waarabu wamemrusha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wamatumbi nomaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kwahiyo kapewa sumu? Tupate ripoti ya daktari maana hawa wanasiasa waliovaa kofia za polisi hawachelewi kupindisha habari!
 
Ccm oyee
Jengo lina kamera halafu policcm wanakanusha utadhani wao mafao yao wanapokea mbinguni
 
Umesomeka!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ