Kiitaliano, Kiitaliano, Kiitaliano...


Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,237
Likes
87
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,237 87 135
Kiitaliano, Kiitaliano:


Jamani mambo yameanza kubadirika sasa, Kiingereza pekee hakitoshi, waajiri wengi sasa wameanza kutaka kudai extra language yaani lugha nyingine unayojuwa tofauti na kiingereza.


Kiitaliano ndiyo lugha rahisi ambayo kwa mtanzania ni rahisi kujifunza kwa kuwa misingi na kanuni zake zinafanana sana na ile ya lugha yetu ya Kiswahili, yaani unavyoandika ndivyo unavyosoma. Nitakupa maneno maneno 2 kama mfano:


1. Sapienza (soma hivyo hivyo kama unavyosoma kwa kiswahili), maana yake ni ‘’Maarifa’’.
2. Studiare (hivyo hivyo kama lilivyoandikwa), maana yake ni kusoma/kujifunza. n.k


Kwa wale wanaohitaji kujifunza kiitaliano kwa namna rahisi kabisa, kwa dsm wanaweza kuja pale Institute worldwide Msasani asubuhi kuanzia saa mbili mpaka saa nne asubuhi au jioni kuanzia saa kumi na moja na kuendelea au unaweza nipigia simu katika 0769142586, gharama ni 50,000 kwa mwezi na miezi 3 inakutosha kabisa.


Nipigie 0769142586
 

Forum statistics

Threads 1,249,423
Members 480,661
Posts 29,697,937