Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
wadau.
nimekutana na hii pic mtandanoni, nikaona ni vyema kuitundika hapa. Je, kuna umuhimu wowote wa kutumia dikshenari kama unahitaji kuweka tangazo kwa kiingereza au bora ujumbe umefika hata kama spelling zimekosewa?
maoni.....
pic kwa hisani: Michuzi.
Mkuu
Hapo Kiswinglish!!
hii inanikumbusha stationary badala ya stationery!!!! sehemu nyingi sana tunazotolea photocopy zimekosewa hivyo.. Fanyeni uchunguzi mtabaini
huyu anajipotezea muda angeongeza 'S' mwisho zote zingekuwa kithungu,fundis,bombas,selemalas, umemes na rangis.Wadau.
Nimekutana na hii pic mtandanoni, nikaona ni vyema kuitundika hapa. Je, kuna umuhimu wowote wa kutumia dikshenari kama unahitaji kuweka tangazo kwa kiingereza au bora ujumbe umefika hata kama spelling zimekosewa?
Maoni.....
Pic kwa hisani: Michuzi.
huyu anajipotezea muda angeongeza 'S' mwisho zote zingekuwa kithungu,fundis,bombas,selemalas, umemes na rangis.
Hii ni aibu kwani huaenda mwandishi wa bango amesoma std I hadi Std VII hajakalia dawati amefaulu ameenda sekondari za kata ambayo ina walimu watatu tu,tunategemea kupata nini hapo?