Haya maagano ya koo na families zetu nayo ni mabaya mno! Yani mnatengeneza roho na kuilisha nanyi mnashiriki ile ibada kwa kula ile nyama bila kujuaMshana Jr kuna ile wanasema kutambulisha watoto kwenye ukoo...!
Mbuzi anachinjwa nyama inaliwa na wanaukoo wote, kama MTU atagoma kufanya hivyo basi wanae watakuwa na shida mbali mbali. Mfano uncle wangu amegoma ila wanae wa kwanza wa kiume na kike wana shida kubwa sana ya macho,
Niliwahi kumsikia bibi akisema ni kwa sababu baba yao amekataa kuchinja mbuzi ya kuwatambulisha kwenye ukoo. Nadhani haina tofauti na mganga wa kilingeni. Ile mizimu inakuamdama popote uendapo lazima itataka uje utukuze mizimu kwa mbuzi labda uwe tasa [emoji33] [emoji33]
MAPEPO yamefuta bia zote na soda
Mshana acha tu na wanaopingana Nazi wanapata changamoto kuuubwa sana. ! Kuna uncle wangu alienda German bariidi ikamzidia kule akarudishwa, ndugu zake wakasema ni kwa vile hajachinjiwa mbuzi, mbuzi ikachinjwa.. Trust me anaendaga tena na tena hata misimu ya baridi ila hajawahi rudishwa...! Hapa naona shetani anavyowaletea tricks[emoji33] [emoji33] [emoji24]Haya maagano ya koo na families zetu nayo ni mabaya mno! Yani mnatengeneza roho na kuilisha nanyi mnashiriki ile ibada kwa kula ile nyama bila kujua
Na ili hii roho iendelee kupata uhai inabidi kila wakati ipate damu, si kama chakula as such bali lile tendo
Mungu au mungu?Lakini tuendelee kusadiki kuwa mungu yupo.