omary khamis JF-Expert Member Sep 29, 2016 402 77 Mar 31, 2017 #1 Wana jf naomba kuuliza anayejua ticket za mechi ya kesho kiwango cha chini wameweka bei gani?
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Apr 23, 2015 18,849 67,285 Apr 1, 2017 #2 Haiwezi kupungua elfu 5 kwa kiwango cha chini