Kiingereza wito

Kiingereza wito

mchaga halisi

Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
5
Reaction score
1
DIRECT TRANSLATION.wacha mchezo-leave sportwewe ni kiboko yao-you are theire sticknaskia kizunguzungu-im hearing english englishmahindi yameota-maize is dreamingusinivute-dont smock meacha kulia lia-stop right rightmaisha ni rahisi sana-life is very president
 
aisee mchaga halisi,you are hipopotamus,i cant you---wewe ni kiboko,sikuwezi!
 
the price is so high..reduce reduce- bei iko juu punguzapunguza(hii ilitokea kweli
 
Hey mchaga halisi, am just tomatowatch you----> Nakunyanyasa
but you tried brothersugarcane -----> lakini umejitahidi kujikakamua
 
When you tel the truth they cotton fire

Ukiwaambia ukweli Wana pamba moto
 
Hii ilitokea tukiwa jeshini Mlalakuwa (Ujenzi). Afande mmoja alinikuta tukiwa tumejificha nyuma ya kibanda cha choo na wenzangu wawili ambao tulikuwa tumepokelewa wiki hiyo tu tukiwa tumetokea 836 KJ ambako tulitoroka. Yule afande aliyekuwa na cheo cha koplo akang'aka kwa masikitiko. " Nyie watu mmetoka Mgambo bila Movement (akiwa na maana movement order) tumewapokea. Sasa mnakuja kujificha huku, mkipata matatizo nani atakuwa possible, si mimi bana?" mwisho wa kunukuu.
 
Hapo kwenye possible bila shaka alitaka kusema responsible. Huyo bado kidogo atajua.
 
Back
Top Bottom