E ericford JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 265 Reaction score 68 May 26, 2015 #1 hivi wanafanya makusudi au.. Attachments 1432641392957.jpg 41.6 KB · Views: 710
nchelegwanzingi JF-Expert Member Joined May 19, 2013 Posts 468 Reaction score 277 May 26, 2015 #2 Duh ngoja nitafute dictionary kwanza narudi
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,152 Reaction score 137,154 May 26, 2015 #3 ericford said: hivi wanafanya makusudi au.. Click to expand... Inawezekana kabisa akawa anafanya makusudi akijua kuna watu mta react na kumzungumzia.
ericford said: hivi wanafanya makusudi au.. Click to expand... Inawezekana kabisa akawa anafanya makusudi akijua kuna watu mta react na kumzungumzia.
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 May 26, 2015 #4 Mnacho takiwa kujua huyu na Mkewe wana tafuta kiki kwa nguvu hakuna cha kukosea kingereza wala nini..! Pengine hawajui kweli lakini wana zidisha ili waongelewe ...
Mnacho takiwa kujua huyu na Mkewe wana tafuta kiki kwa nguvu hakuna cha kukosea kingereza wala nini..! Pengine hawajui kweli lakini wana zidisha ili waongelewe ...
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 May 26, 2015 #5 Dah! Ama kweli duka limejaaa!!! Ndorobo wapo wengi kweli kwenye tasnia yetu..
Amber rose Member Joined May 8, 2015 Posts 39 Reaction score 18 May 26, 2015 #6 Ruttashobolwa said: Mnacho takiwa kujua huyu na Mkewe wana tafuta kiki kwa nguvu hakuna cha kukosea kingereza wala nini..! Pengine hawajui kweli lakini wana zidisha ili waongelewe ... Click to expand... Wanatafuta kiki hicho kiingreza walikijua lini,yaan hapo sio kujifanyisha Bali ni hawajui tu
Ruttashobolwa said: Mnacho takiwa kujua huyu na Mkewe wana tafuta kiki kwa nguvu hakuna cha kukosea kingereza wala nini..! Pengine hawajui kweli lakini wana zidisha ili waongelewe ... Click to expand... Wanatafuta kiki hicho kiingreza walikijua lini,yaan hapo sio kujifanyisha Bali ni hawajui tu
eli moon Member Joined Nov 17, 2014 Posts 55 Reaction score 14 May 26, 2015 #7 Lol!aibu naona mie msomaji!
Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,328 May 26, 2015 #8 Diamond alianza hivyo hivyo hadi akajua,nyie mnaocheka mnaishia kutokujua kabisa
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,792 May 26, 2015 #9 Kwa mfano tukiwapuuzia na kutowajadili hapa itakuaje?