Kihoja cha mwaka moshi kilimanjaro

Kihoja cha mwaka moshi kilimanjaro

Au ni volcano??🤔
Lakin kwa sababu saiv ni majilio ya x mass tutaona mengi
Screenshot_20181208-164041.png
 
Angalau ww umejitahidi
Ukifungua video, ukiona haifunguki, nenda pale juu kulia, utaona alama ya mshale, na vinukta vilivyobebana.

Bonyeza kwenye hivyo vinukta, utakuta neno refresh, liko juu, bonyeza hiyo refresh alafu nenda kafungue video, itafunguka tu.
 
Vipi moto umezima au bado mpaka leo? Usikute mlima Kilimanjaro unalipuka volcano taratibu
 
Kuna kitu hapo ngoja nitakapokuja xmass nitawaonesha
 
Back
Top Bottom