Kihoja cha mwaka moshi kilimanjaro

Kihoja cha mwaka moshi kilimanjaro

big IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
491
Reaction score
893
Moshi eneo la coffee curing kiwanda kuna mti unawaka moto leo siku ya tatu na hauungui wala majani hayakauki,fire wamejaribi kuzima lakini wapii.source millard ayo
 
Hivi ni kihoja au Kioja?
 
Moshi eneo la coffee curing kiwanda kuna mti unawaka moto leo siku ya tatu na hauungui wala majani hayakauki,fire wamejaribi kuzima lakini wapii.source millard ayo
Weka video
 
Hao fire wasipokuwa makini watazimika wao na moto itaendelea kuwaka
 
Mmh. Mbona kama kinachowaka sio mti wenyewe kuna kitu ndani?
Inawezekana ikawa hivyo, unavyoona, ila hata mimi sijaona live, huo mti, bali nimweka tu hii video hapa, sababu kuna watu walikua wanahitaji kuiona.
 
Oooh. Usijali Boss.

Watatuambia zaidi walioko huko maana kama ni kweli basi sio moto wa kawaida huo.
 
Back
Top Bottom