Kiherehere kwa Kiingereza tunasemaje

Kiherehere kwa Kiingereza tunasemaje

Kila lugha ina utamaduni wake, haliezi kuwepo neno lenye kionjo hichohicho ingawa linaweza kubeba mana hiyo
 
Gung-ho
Impulsive
Overzealous

Kutegemeana na muktadha (context), yote haya yanaweza kumaanisha kiherehere.
 
Back
Top Bottom