Jamaa Mmoja alimtembelea mama mkwe wake,akiwa ameketi nje barazani akamwona mama mkwe anamfukuza kuku,na mama mkwe aliporud mazungumzo yao yakawa ivi: jamaa-Msimuweke Mchuzi Mumkaange tu!, mama mkwe: wala huyu kuku hachnjwi ila nampeleka akaatamie!. DU jamaa kabaki macho hayoo....