Kihamia: Mjumbe wa Kamati Tendaji Ajiuzuru

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,080
103,308
Screenshot_20210825-075853_Chrome.jpg
 
Awe mkweli tu amemkwepa aliyewaita Yanga wote hamnazo kasoro Kikwete na baba yake Mzee Manara. Ila hongera zake hakutaka kuwa mnafiki na amechukua maamuzi ya busara sana kwa upande wake.
 
Amefanya kitendo cha kiungwana na cha kijasiri! Hata nyinyi kuna kiongozi wenu (sijui ni Magori yule) alijiuzulu urais wa klabu baada ya Mo wenu kukabidhiwa timu, na kuanza kuwapelekesha watu alio wakuta kama magari mabovu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom