Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

Tumemsikia Mh Dr Kigwagangala....Salute kwake. Amesaidia sana kuboresha mswada unaojadiliwa... Naamini mchango wake utasaidia sana kwenye kupatikana kwa katiba mpya
ameboreshaje mkuu? Je kwa hayo hayo matusi ya rejareja?
 
Wachangiaji woote! Wanapiga vijembe, hvi mda huu wataufidia vipi? Na cjui naibu spika hasikii? Maana wanaeneza chama kama waziri wa ujenzi. Mi nimeacha kuangalia vijembe
 
sikatai kwamba kakose asasa je kanuni za bubge zinaruhusu personal attack??
kama alikosea angetakiwa aomabe mwongozo ili adhibiwe ipasavyo kuliko kumtusi sasa kumtusi huoni kajidhalilisha yeye mtukanaji??

Mbowe ni mjinga narudia tena huu ni ujinga mwingine ambao unaoneshwa na mtu ambaye anategemewa na watanzania walio wengine.
 
kwashiakor aliyoipata imemharibu akili
punde atakuwa kichaa
jimbo la nzega walifanya makosa kutokumrudisha selelii
 
Kingwangala ndio nani katika siasa za Tanzania? anajitafutia uadui na watanzania walio wengi ambao sasa hivi wengi wao wameshaijua ile kweli!!!....acha ujinga Kigwangala huo upuuzi wako naona unakoelekea unajimaliza kisiasa dogo!
 
Huyo Kigwangala ni kama anamatatizo ya akili.....Hakuna jipya ambalo CCM wamnaweza kufanya ndani ya Bunge pasiopkuwa na uwepo wa Chadema....Chamsingi ambacho wanaweza kufanya ni kutukana....Sasa Mbunge mzima karibia muda wake wote ameutumia kutoa matusi na kashfa ni hatari sana.......Enyi maccm nani kawalogaaaaa....
 
Back
Top Bottom