chikakatata
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 220
- 98
mtoa hoja amesema kigwangala apongezwe na kuna wengine tunaona anastahili pongezi sasa wewe unaleta siasa zako hapa. mtu kafanya kazi nzuri basi ni budi apongezwe ili kumtia moyo, kama wewe una yako baki nayo, kama una wivu kufa naounaona umelog in kwa username nyingine bwana kigwangalla
ni kweli tunaacha kujadili hoja kama hizi tunaenda kujadili propaganda za wapiga kelele bungeni, wenzao akina kigwangala wabunge wapya wa juzi tu hapa wanaanza kuonesha ukali na kelele zao zinazaa matunda ambayo yataleta maendeleo kwa wananchiSasa haya ndo mmbo ya msingi ya kuweka huku kwenye jukwa si ujinga wa urais wa zitto kabwe,membe na lowassa.heko sana kwa uliyeanzisha hii thread.
Kama sikosei Kigwangala huwa anaanzisha thread kwa jina lake halisi bila kujificha kwenye alias sasa sijui unamaanisha nini? kwamba angeshindwa kuanzisha pia na thread hii ama?Tunakupongeza Kigwangala kwa mafanikio hayo uliyopata but kwa mtu aliyekusikiliza jana wakati unatoa speech yako pale mjengoni jana basi haitaji hata elimu ya darasa la saba kujua kuwa wewe mwenyewe ndo umeanzisha hii sredi! Hii kanuni ya kujitengenezea sredi humu ndani ya JF inaitwa "Zittoism toward unknown direction".Hivyo bwana kigwangala hii mesodi haitakutoa kisiasa achana nayo! aliijaribu January Makamba imemtoa kidogo lakini hata hivyo aliishtukia mapema ameamua kuiacha !
Tunakupongeza Kigwangala kwa mafanikio hayo uliyopata but kwa mtu aliyekusikiliza jana wakati unatoa speech yako pale mjengoni jana basi haitaji hata elimu ya darasa la saba kujua kuwa wewe mwenyewe ndo umeanzisha hii sredi! Hii kanuni ya kujitengenezea sredi humu ndani ya JF inaitwa "Zittoism toward unknown direction".Hivyo bwana kigwangala hii mesodi haitakutoa kisiasa achana nayo! aliijaribu January Makamba imemtoa kidogo lakini hata hivyo aliishtukia mapema ameamua kuiacha !
Siku zote wewe hunipinga mimi, sasa sijui na wewe nielewe ni nani? Maana kama siku zote Chikakatata huwa ananiffagilia basi ndiye amekuwa mimi sasa sijui na wewe umekuwa nani sasa! Fumbua kichwa chako, fikiria mbali zaidi ya upeo wa pua yako!Chikakatata ndiye kigwagallah nimefuatilia sana hii Id nimegundua Hilo Mara nyingi chikakatata anaanzisha mada za kumsifia kigwagallah Kumbe ni yeye mwenyewe
waambie kamanda, mimi huwa sijifichi nyuma ya aliases na kuanza ku-post, ninajiamini kiasi cha ku-face critique na hata criticism from peers, I am a scientist cum a politician...and I know my stuffKama sikosei Kigwangala huwa anaanzisha thread kwa jina lake halisi bila kujificha kwenye alias sasa sijui unamaanisha nini? kwamba angeshindwa kuanzisha pia na thread hii ama?
Mimi nikitaka kujifagilia hujifagilia tu (kwa kuwa I believe if what I have done is great and it deserves appreciations kutoka kwa watu wenye akili, hujikubali mwenyewe, wala sikusubiri wewe). Na ama nikitaka kuanzisha mjadala kuhusu jitihada zangu huwa naanzisha mwenyewe mchana kweupe bila kujificha hata siku moja nyuma ya alias, kama ulivyofanya wewe!unaona umelog in kwa username nyingine bwana kigwangalla
hongera lakini Nzega bado inahitaji pesa zaidi ya hivyo vijisenti kidogo.waambie kamanda, mimi huwa sijifichi nyuma ya aliases na kuanza ku-post, ninajiamini kiasi cha ku-face critique na hata criticism from peers, I am a scientist cum a politician...and I know my stuff
Ni kweli lakini hata hii hatua ni nzuri kuliko wangeondoka bila kulipa kabisa chochote Nzegahongera lakini Nzega bado inahitaji pesa zaidi ya hivyo vijisenti kidogo.