PreGE2025 Kigwangalla: CCM haijasema chochote kuhusu Gwajima, Chama haikimzuii mtu kuhoji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akizungumza na Clouds TV, Juni 18, 2025, amesema;

"Chama cha Mapinduzi CCM hakimzuii mtu kuhoji. Mtu yoyote anaweza kuhoji chochote na hakatazwi yoyote. Mfano Luhaga Mpina anaongea ulishawahi kusikia amekatazwa na mtu kuongea? Hata juzi ameunga mkono alichokisema Askofu Gwajima. Kushughulikiwa wapi? Mh. Luhaga Mpina si yupo? Gwajima hajashughulikiwa!!

"Umesikia Chama kimesema chochote?? Na Chama hakijasema chochote na CCM ni dude kubwa, kama asiposema Mama (Samia Suluhu Hassan) ina maana CPA Amos Makalla angekuwa ameshasema chochote"

666.jpg
 
Kinembe anasemaje
 
Kauli hiyo haina athari yoyote kwa taifa kwa sababu Chigangwala sio msemaji wa chama na hajatumwa na chama, ni uchawalism kwa kwenda mbele na umbumbu wa kujua misingi ya chama chao, NI UNAFIKI MTUPU
 
Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akizungumza na Clouds TV, Juni 18, 2025, amesema;

"Chama cha Mapinduzi CCM hakimzuii mtu kuhoji. Mtu yoyote anaweza kuhoji chochote na hakatazwi yoyote. Mfano Luhaga Mpina anaongea ulishawahi kusikia amekatazwa na mtu kuongea? Hata juzi ameunga mkono alichokisema Askofu Gwajima. Kushughulikiwa wapi? Mh. Luhaga Mpina si yupo? Gwajima hajashughulikiwa!!

"Umesikia Chama kimesema chochote?? Na Chama hakijasema chochote na CCM ni dude kubwa, kama asiposema Mama (Samia Suluhu Hassan) ina maana CPA Amos Makalla angekuwa ameshasema chochote"

Kwahiyo ile Gwajimanazation aliisema nani au alikua anaongelewa nani? Wale vibaka wa yuvisisiemu walikua wanamsema nani? Wale wakinondoni walikua wakimsema nani? Ni aibu mtu mzima mwenye taaluma yako kua chawa
 
Huyu si alienda mpaka kwenye mizimu ili apewe uwaziri hapo kastukia hakuna cha mizimu wala nini ni uchawa tu kaona ndio atatoboa
 
Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akizungumza na Clouds TV, Juni 18, 2025, amesema;

"Chama cha Mapinduzi CCM hakimzuii mtu kuhoji. Mtu yoyote anaweza kuhoji chochote na hakatazwi yoyote. Mfano Luhaga Mpina anaongea ulishawahi kusikia amekatazwa na mtu kuongea? Hata juzi ameunga mkono alichokisema Askofu Gwajima. Kushughulikiwa wapi? Mh. Luhaga Mpina si yupo? Gwajima hajashughulikiwa!!

"Umesikia Chama kimesema chochote?? Na Chama hakijasema chochote na CCM ni dude kubwa, kama asiposema Mama (Samia Suluhu Hassan) ina maana CPA Amos Makalla angekuwa ameshasema chochote"

Hili zoba kweli na nafiki wa kiwango cha masizi. Kwani baada ya Mpina kuongea juzi hasira aliyoionesha kwake hadharani ni ya nini wakati msemaji alikuwa anawasilisha kero za wananchi ambao ndio walimtuma?

Igunga iko karibu na Nzega na Singida lakini maendeleo yake ni duni hakuna la maana alilowatetea wananchi anaowawakilisha. Rubbishi kabisa
 
Hapo Muulizaji alitakiwa kumuuliza mbona sasa Mama alionekana ku catch, halafu Kigwa aseme "avimbe apasuke lakini ukweli usemwe tu" na aulizwe tena "kwa hiyo Mh unawapongeza Mpina na Gwajima?" ningesubiri hilo jibu hata kama miezi itapita.
 
Back
Top Bottom