KIGWANGALAH @ WORK; Maandamano! Maandamano! Maandamano!

KIGWANGALAH @ WORK; Maandamano! Maandamano! Maandamano!

Kiganyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,242
Reaction score
765
Hamisi Kigwangalla ‏@hkigwangalla Maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi sasa kufanyika tar 16 Juni 2012. Nyote mnaalikwa kutuunga mkono.

Hamisi Kigwangalla ‏@hkigwangalla

Tumewasilisha rasmi barua ya kuomba ulinzi wa polisi kwenye maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi.

My Take; Will it happen that this dude will lead his people on this March to demonstrate what they claim to be intensive exploitation or it is a publicity stunt??

Should we expect another Comedy of Errors because the Nzega Kaya patriot is always scared to be struck off the rolls!

Let's help this guy some tactics to sail against the magamba wind!

Wenye maujanja tumsaidieni, afanikishe hii move!

Mnafiki tu huyo watamzaba vibao tena kama awali,hana msimamo ni kama panya anaenyemelea wakti paka kalala,hata Nape akimpiga tu mkwara atanyea
 
Kigwangwala ni mzushi fulani hivi,anazuga kama mwema kumbe hana lolote yuko nyuma ya mafisadi
 
Anamaanisha lakini?
alipigwa mkwala kidogo anapoa huyo!
 
Geresha tu hiyo, subiri next taimu kama watakupitisha ugombee!

Kazi ya Mbunge ni kudai haki za wananchi wote bungeni kwanza, asipopata jibu ndio aingie mtaani kwa wananchi!

Hata siku moja sijakusikia ukidai bungeni, hata karatasi ya Zito hukusaini!
 
mchimua tumbo ,,, waulizeni madaktari mh2 na sign ya kutokuwa na imani na waziri mkuu,,, hivyo fasheni ya maandamano kaitoa wapi wakati style ya chama chama chake ni kuchakachachua kura ili ilazimishe ushindi.
 
kingwangwala nani kakutuma kufanya haya maandamano ni msimamo wa chama chako au umejituma mwenyewe ,kimsingi chama chako hakiko karibu na wananchi kiasi hicho unavyowaza ila kama ni kupima kama umebakiwa na wapiga kura wangapi hapo sawa ila kuwa makini mwisho wa maandamano watu watauliza maswali ya msingi uwe na majibu yake vinginevyo tegemea makofi
 
Hizo hasira za kunyimwa uwaziri,maana alikua kausubiri kwa hamu sana,jamaa wakampiga chinin
 
Hamisi Kigwangalla ‏@hkigwangalla Maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi sasa kufanyika tar 16 Juni 2012. Nyote mnaalikwa kutuunga mkono.

Hamisi Kigwangalla ‏@hkigwangalla

Tumewasilisha rasmi barua ya kuomba ulinzi wa polisi kwenye maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi.

My Take; Will it happen that this dude will lead his people on this March to demonstrate what they claim to be intensive exploitation or it is a publicity stunt??

Should we expect another Comedy of Errors because the Nzega Kaya patriot is always scared to be struck off the rolls!

Let's help this guy some tactics to sail against the magamba wind!

Wenye maujanja tumsaidieni, afanikishe hii move!
Jamani, Jamani, Hili Jamaa ni Lijoga! Full kujipendekeza! Wakati wa ku-Sign ile petition ya kumpiga chini Waziri Mkuu, jamaa lilikuja na kudai kwamba haliku-sign eti kwasababu Chama chake hakikumtuma kufanya hivyo. Je haya Maandamano ametumwa lini na Nape? Maana tunajua bila ya ruhusa ya Nape, jamaa ni likoko tu. Pia amsubiri Mh. Maimu wa Vitambulisho vya Uraia amfafanulie hilo jina la Hamis aliloliiba kwa yule Mtanzania mvuja jasho pale Nzega aliposoma na Bashe alilipataje huyu Said Bagaile?
 
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha.
Sema wewe kiazi, akisema muhogo ana mzizi...
 
Hamisi Kigwangalla ‏@hkigwangalla Maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi sasa kufanyika tar 16 Juni 2012. Nyote mnaalikwa kutuunga mkono.

Hamisi Kigwangalla ‏@hkigwangalla

Tumewasilisha rasmi barua ya kuomba ulinzi wa polisi kwenye maandamano ya wananchi wa Nzega kudai haki zao dhidi ya mgodi.

My Take; Will it happen that this dude will lead his people on this March to demonstrate what they claim to be intensive exploitation or it is a publicity stunt??

Should we expect another Comedy of Errors because the Nzega Kaya patriot is always scared to be struck off the rolls!

Let's help this guy some tactics to sail against the magamba wind!

Wenye maujanja tumsaidieni, afanikishe hii move!

Dr. Hamis umekuwa CHADEMA siku hizi? Maana mnasema maandamano yaleta uvivu kwa wananchi sasa siku hiyo uvivu utakuwa likizo? Jeshi la polisi kupitia INTELIJENSIA watakwambia kuna ALSHABAAB mtafanyaje? Pole sana Dr. Mnauma na kupulizia ila ukweli upo palepale
 
Halafu hili Jamaa lilitegemea lingepata Uwaziri. Sasa limekosa ndo maana mnaliona linaweweseka kama Maige. Lilidanganywa liwasaliti Madaktari kwa ahadi ya kupewa Uwaziri, kumbe mwisho wa siku hola! Chezea Mutoto ya Mujini, Ridhiwani wewe!
 
Lilikuwa linalaani sana Maandamano ya CDM kwamba si njia ya kutatua matatizo. Ni lini amegundua kwamba Maandamano ndo njia pekee ya kumfanya Kiziwi asikie? Kwa hiyo anataka kukiri kwamba CDM wana akili ambayo ipo mbele miaka mitano zaidi ya akili yake? Gamba kubwa hili Chumia tumbo. Na likicheza 2015 wanalitupa nje kwanza halikubaliki kwao. Alishika nafasi ya Tatu nyuma ya Bashe na Selelii, waliolibeba ndo hao hao anaotaka kuwatukana leo.
 
Si walisema maandamano siyo sera ya chama chao? Lakini kumbe wanajua inalipa kutumia nguvu ya Umma? Anyway si vibaya kukopi vitu vizuri kutoka kwa wengine! Angalia wasije kukudharirisha kama wakati ule!
 
Kigwangala ungetulia ungeambulia hata Unaibu Wizara ya Afya kwa staili hii ni kuipinga Serikali ya CCM imeuiba Mgodi
 
Huyu bwana ananisikitisha mandamano ya nini kupinga kutopewa uwaziri pole unge sign ungeweza kupata ila ukujua la kufanya awa ndio zecomedy
 
Back
Top Bottom