siku zote hizo hawakuona haja ya kufanyia marekebisho. hadi iwe hii siku za karibu na aikukuu. kuna watu walikuja saa5 mchana tumevuka nao saa6 usikumkuu wengine tumefika saa tano tukavuka saa 11 ila gtulikuwa tunatokea upande wa Mwanza
Kwani kamanga haipo?no aibu na maudhi mtu unafika saa7 unaondoka sahv saa sita.
Huenda kama itarekebishwa ile ya busisi itakosa sokokule kwa gari ndogo aisee inafika ila inachoka sana. ina rasta nyingi njia ni mbaya sana. na sijui kwann hawataki kuikarabati ilhali huku hawajajipanga kuhudumia namba kubwa kiasi hiki