Kigoma waibwaga UKAWA na Lowassa

Kigoma waibwaga UKAWA na Lowassa

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
DSC_0157.jpg
 
kgoma ip weye? kg n moja ya ngome za upinzan ccm imesha zkwa na mwaka huu wanamalzia wabunge wa ccm wachache waliobak tukianza na serukamba

Lowassa Kwisha habari yake. Chagadema Kwisha habari yao.
 
kgoma ip weye? kg n moja ya ngome za upinzan ccm imesha zkwa na mwaka huu wanamalzia wabunge wa ccm wachache waliobak tukianza na serukamba

huku Kigoma ukawa kwishneeee hapa kaxi tuuu
 
mwangalie huyo mtt aliyebebeshwa bango alivyo na wasiwas...hapo atakuwa kapewa na ayatolanga zzk alibebe
 
CCM mnajisumbua Kigoma. Kigoma ni mkoa ambao tokea uanzishwe wamekuwa wapinzani. Watu wa Kigoma hawajawahi kuipenda chama tawala
 
Kwahiyo maguguli anayosema huko chato mita mia maji yapo?
 
Nakwambia huyo alishika ilo bangi jaman kaandikiwa ata ukimwambia soma Huenda hajui pameandikwaje!
Eti makufuli 4 change. Mpyuuuuuu
 
Kwahiyo bango moja tena ya kuandikiwa itoshe je kusema ukawa Kigoma imebwagwa?
 
Lowassa Kwisha habari yake. Chagadema Kwisha habari yao.

Inaonekana unahasira ya anguko la CCM.Pole sana kwa maumivu unayoyapata na yote yamesababishwa na viongozi wasiyowajibika kwa wananchi.
 
Mr. chino mm ni mkazi WA Kigoma na nipo huku unadanganya na isitoshe Leo Duni haji: Tundu lisu na Mdee wapo hapa kawawa niwaleteeni updates kanikela huyo chino Kama upon Kigoma nitafute 0769946412 ili tudanganyane nipo mjini peopleeeeeeesss
 
Achana na hilo zombie la ccm lisilojitambua
 
Namskitikia alie beba bango kala pesa ssa unafiki unamuuuma kaaa watanzania token kibuyuni basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom