Kigoma Manyovu

Kigoma Manyovu

salenda

Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
9
Reaction score
2
😛eace:raia wa Manyovu Kigoma tumebarikiwa kuwa na pua ndefu kama walivyo Wamasai na Wairaki wa Manyara lakini kutokana na muonekano wetu tunakamatwa kuwa ni Warundi na wengine Wanyaruanda lakini vijiji vyetu vimekuwepo kabla hata ya uhuru wa Tanganyika na vingine viliitwa Nyabutusi na ndio majina yake halisi na Waha lugha ye2 inaingiliana na Kirundi vilevile na Kinyaruanda kukamata mtu kisa ana pua refu sio sahihi kabisa watu wanaonewa sana Manyovu hususani kijiji cha Kalinzi
 
kijana una matatizo ya kufikiria kama nalo hili umeliona ni propaganda ok
 
Mbona mimi nina pua ndeefu kama kona ya sambusa niko hapa Mukigo karibu na kwa marehemu John Lugiga sijakamatwa? Utakuwa Mrundi tu wewe.
 
watu wa Kigoma tuna shida moja ya kubaguana zidi ya Utusi na Uhutu ndo tatizo kubwa linalokusumbua kijana najua
 
Onesha papers kijana kama huna tembea na yesu kurudi burundi, nafikiri wewe asili yako ni pale mabanda...bye
 
😛eace:raia wa Manyovu Kigoma tumebarikiwa kuwa na pua ndefu kama walivyo Wamasai na Wairaki wa Manyara lakini kutokana na muonekano wetu tunakamatwa kuwa ni Warundi na wengine Wanyaruanda lakini vijiji vyetu vimekuwepo kabla hata ya uhuru wa Tanganyika na vingine viliitwa Nyabutusi na ndio majina yake halisi na Waha lugha ye2 inaingiliana na Kirundi vilevile na Kinyaruanda kukamata mtu kisa ana pua refu sio sahihi kabisa watu wanaonewa sana Manyovu hususani kijiji cha Kalinzi
Kwa maelezo yako hakuna mtu wa manyovu anaefanana na mmasai au muirak, hao wa hivo asili yao ni watusi na asilimia kubwa wa huko wengi asili yenu burundi, mfan
o ukienda SHUZA au mtaa wa LUBANGA kijiji cha MKABOGO, bro unabahati kimbunga hakijakupitia ila bado kipo jiandae.
 
😛eace:raia wa Manyovu Kigoma tumebarikiwa kuwa na pua ndefu kama walivyo Wamasai na Wairaki wa Manyara lakini kutokana na muonekano wetu tunakamatwa kuwa ni Warundi na wengine Wanyaruanda lakini vijiji vyetu vimekuwepo kabla hata ya uhuru wa Tanganyika na vingine viliitwa Nyabutusi na ndio majina yake halisi na Waha lugha ye2 inaingiliana na Kirundi vilevile na Kinyaruanda kukamata mtu kisa ana pua refu sio sahihi kabisa watu wanaonewa sana Manyovu hususani kijiji cha Kalinzi

Join Date : 12th August 2013
 
Mimi kuna mtu nimemjibu leo leo kwenye mada ya wahamiaji haramu wa Kigoma, nimebahatika kusoma O-level Kigoma na pia nimebahatika kufanya kazi Kigoma kwa muda wa miaka miwili plus na ile ya Olevel ni miaka sita so nimekuwa mkazi wa KG kwa miaka sita.In short kamatakamata ikifika Manyovu hakuna atakaesalia maana wakazi wengi ni watusi wa Burundi wala si watusi wa Rwanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom