Kigoma kulikoni?

Huu ni mkoa ambao haijatokea hats siku moja kuomba misaada ya chakula. Hawana njaa.
2. Ni mkoa ambao ni wa makimbilio, wakimbizi wengi wamehifadhiwa.
3. Ni mkoa ambao licha ya vipaji vya Michezo, vijana wao wanapokuwa madarasani ni moto wa kuotea mbali.
 
Sababu hizi hapa
 
Mkuu Kigoma sijui waliwafanya nini marais wa nchi hii..yaani ule mkoa kama uko nje ya Tz.

Cha pili ni tatizo la wabunge wa kigoma kujifanya ni wabunge wa taifa na kusahau majimbo yao.
Unakuta mbunge wa kigoma kakomaa na gesi au korosho za mtwara wakati jimbo lake halina uhakika wa maji safi tangu uhuru.

Kingine wabunge wa kigoma ni washenzi na hawana uzalendo na kwao..
Mh Chiza amewahi kuwa waziri kama sikosei ni wa Maji lakini jimbo lake kaangalie..
Hakuna maji wala kilimo cha umwagiliaji.

Mpuuzi mwingine ni mbunge wa kibondo ambaye ni naibu waziri wa miundombinu..
Unakuta lile poyoyo linaongelea barabara za Arusha wakati barabara ya jimboni kwake ina mashimo kama nini...


Sababu ya mwisho na yamuhimu kuliko zote ni UJINGA wa wananchi kuendelea kuchagua viongozi wale wale wasio na vision kwa majimbo yao.. unakuta kiongozi kwenya kampeni anaongelea madini ya geita wa watu wanamchagus
 
Hzo sababu hata hazijaeleweka
 
....Mkoa wenyewe ukoje ???...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…