Duh basi hiyo ni habari njema. So huku mfano Dar ikiwa ni saa 17:55 Kigoma itakuwa saa 18:55 ama 16:55?
kichwa cha habari hakiko sawa kama unavyokata iwe, Kigoma iko magharibi zaidi, kwa hiyo ilitakiwa iwe nyuma kwa saa moja si kuwa mbele kwa saa moja.
Na yote haya Zito ndio kasababisha vinginevyo muda ungekua kua sawa,
Lakini mji wa Mtwara ndiyo mji ulio mashariki zaidi ya Tanzania. Ukiwa Mtwara saa 12:30 ya jioni ni usiku kabisa!
Duh basi hiyo ni habari njema. So huku mfano Dar ikiwa ni saa 17:55 Kigoma itakuwa saa 18:55 ama 16:55?
tanzania tunatumia masaa ya kwenye longitudo 45 mashariki ya greenwich. mji wa kigoma upo nyuzi 29 mashariki. hapo pana tofauti ya nyuzi 16. kwenye masaa, nyuzi 15 ni sawa na saa 1. hivyo masaa wanayotumia kigoma na masaa halisi kunatofauti ya saa moja.
inabidi wana kigomamuanze kutumia masaa yenu halisi.
Ndio mana kumbe Zito yuko nyuma!!!!