Kigoma Airport

Duuh Hii ni airport au nyumba ya kulala wageni, Serikali hatuna :A S 20:
 
Kaka typing error ni kitu cha kawaida kabisa, labda mwenzetu wewe ni malaika hukosei.
Pili, hiyo thread sikuwahi kuiona kabla thats why nikajua naleta kitu kipya.
tatu, picha niliyoituma mimi na ile ya KakaKiiza zina tofauti kubwa sana.
Nakutakia mchana mwema na siku njema.
ACHA KURUDIARUDIA, harafu kumbuka hapa Tanzania hatuna mkoa wala mji/eaport inayoitwa Kigima.
 

Tofauti yake ile ya Kiiza inaonyesha kweli pale ni air port maana tunawaona wageni yakwako imekaa kama iliyopigwa kwenye magofu mimi naichagua ya kiiza na ninaipa tano!
 

Sasa mkuu kama wewe sio malaika hao walioandika hapo KiGIMA walikuwa malaika? you made may day..............
 

Duh typing error corrected with a sentence with a typing error....let us think before we criticize, to avoid making ourselves a laughing stock....
 
Hivi kweli Bongo kuna viongozi wa Nchi? Aiport gani hiyo mbaya jamani? mimi nilifikiri mahali pa kujifunzia ndege kumbe Aiport? Ahhh Nchi imeoza jamani Hivi hao Viongozi wa Serikali yentu hawaoni Aibu namna hii? inasikitisha jamani Hatuna Viongozi Wakuu Wenzangu. AIBU TUPU






 
<table id="yui_3_3_0_1_1297220876461134" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody id="yui_3_3_0_1_1297220876461133"><tr id="yui_3_3_0_1_1297220876461132" class="no-border allsizes-sizes"><th id="yui_3_3_0_1_1297220876461131">Zanzibar Aiport Afadhali hii kidogo inapendeza kuliko huko Kigoma
</th> <td>
</td> <td>
</td> <td>
</td> <td>
</td> <td class="allsizes-selected">
</td> <td>
</td> <td>
</td> </tr> </tbody></table>
 
Kaka Buji nikwamba picha ni ileile mpigaji niyuleyule yangu aikuwa edited yakwako wameedit na lengo ilikuwa kuonyesha maandishi ila ukitazama utaona watu kawakata!Mimi ipokamailivyochukuliwa na mpiga picha wetu asanteni.
Tofauti yake ile ya Kiiza inaonyesha kweli pale ni air port maana tunawaona wageni yakwako imekaa kama iliyopigwa kwenye magofu mimi naichagua ya kiiza na ninaipa tano!
Picha nimoja wandugu!

Hakutaka kuwapa shavu wazungu kaka buji nia yake kupeleka ujumbe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…