Ogopa kufanya jambo ambalo Nyerere hakufanya

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
39,813
Reaction score
50,824
Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.

Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.

Tufikiri mara mbili.

Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.

Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.

Kitatulamba.
 
Tumefika hapa kwasababu tunadhani tuna akili sana kuzidi Nyerere.

Alifuta Machief, sisi tuko busy na siasa na Machief.

Aliheshimu kura, sisi tunataka shortcut za kuengua watu.
 
Dunia haiongozwi na waliokufa. Hilo liweke kichwani.

Hayo mawazo sijui ya Nyerere, sijui Yesu, sijui Muhamad mara nyingi hutumiwa na watu wajanja kuwadhibiti watu wengi hasa waliotabaka la chini.

Wewe unafikiri watawala wanapofanya maamuzi yao wanakumbuka hata kulikuwa na Nyerere?
Nyerere utamsikia wakiwa majukwaani tuu.

Ukishakufa umekufa mkuu. Waliohai wanauhuru wa kuamua watumie mawazo yako au mawazo yao au mawazo yoyote.
 
Ktk Africa sijaona rais aliye hai au aliyekufa ambaye alikuwa na Nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo wenzake wakati yeye akibakia vilevile akiridhika na vichache alivyonavyo.
Yeyite anayemponda Nyerere au atakayekuja kumponda Nyerere kwa makosa mengi ambayo ni irrelevant ni mvivu wa kufikiri au ni opportunist ambaye anaamini akifanya hivyo itamsaidia kwa mazingira yake ya kipato kama baadhi ya watu ktk huu uzi
 
Wengi wana akili finyu
 
Ordinary people wanadhani Nyerere alikua ni kiongozi wa kawaida... Na wanadhani ile HEKIMA aliokuwanayo ni akili tu/ujanja ujanja tu.

Kiufupi sana Nyerere alikua na uwezo wa kiulimwengu/kiroho...

Alikuwa na utashi wa kinabii kama walivyo mitume wengine...

Alikua anaona mambo (maono, uvuvio, ufunio nk) na si kwamba alikuwa na vyanzo vya taarifa ambavyo wengine walikua hawana...

Kuna watu wanajidanganya kwamba Mw.JK. Nyerere alikua ana TeleVision pekeyake nchi nzima hivyo alikua anatizama matukio kisha anawasimulia kua ameona moja mbili tatu...

Ukweli ni kwamba alikua anaona mambo/maono kweli na sio kutumia TV.

SASA KAMA KUNA UTARATIBU AU MTAZAMO WAKE ALIUWEKA HASA KATIKA KUONGOZA NA KUENDESHA NCHI HATUNA BUDI KUUTILIA MAANANI KINYUME NA HAPO TUMEKWISHA...

KWANINI? KWASABABU NI MUONGOZO KUTOKA KATIKA ULIMWENGU WENYEWE/CHANZO/ SOURCE.
 
Nani amesema Nyerere hana makosa?

Nyerere kukosea ni kawaida, kwasababu alikuwa kwenye TRIAL and ERROR.

Sasa hivi watu wanakosea kwasababu wana akili finyu.

Umejibu vizuri.

Mtoa mada hajaeleza kwa hoja kwa nini watu waliohai wasijenge Kiwanja cha ndege Serengeti kisa aliyekufa hakufanya hivyo.

Kwamba hoja yake ni jambo ambalo halikufanywa na Nyerere lisifanywe?
Hii hoja inamapungufu Makubwa
 
Nyerere mwanzilishi wa Taifa huru la Tanzania toka Tanganyika na Zanzibar.

Kama kuna jambo hakulifanya tukaja kulifanya sisi.

Tufikiri mara mbili.

Pamoja na kuwa mzaliwa wa Mkoa wa Mara, hakufikiri hata kujenga Airport Mbuga ya Serengeti.

Ila sasa sisi wajanja kumzidi tunataka kujenga.

Kitatulamba.
Daaaa naona sasa akili nimeanza kurudi pahala pale,nakupongeza kwa hili
 
Ordinary people wanadhani Nyerere alikua ni kiongozi wa kawaida... Na wanadhani ile HEKIMA aliokuwanayo ni akili tu/ujanja ujanja tu.

Kiufupi sana Nyerere alikua na uwezo wa kiulimwengu/kiroho...

Alikuwa na utashi wa kinabii kama walivyo mitume wengine...

Alikua anaona mambo (maono, uvuvio, ufunio nk) na si kwamba alikuwa na vyanzo vya taarifa ambavyo wengine walikua hawana...

Kuna watu wanajidanganya kwamba Mw.JK. Nyerere alikua ana TeleVision pekeyake nchi nzima hivyo alikua anatizama matukio kisha anawasimulia kua ameona moja mbili tatu...

Ukweli ni kwamba alikua anaona mambo/maono kweli na sio kutumia TV.

SASA KAMA KUNA UTARATIBU AU MTAZAMO WAKE ALIUWEKA HASA KATIKA KUONGOZA NA KUENDESHA NCHI HATUNA BUDI KUUTILIA MAANANI KINYUME NA HAPO TUMEKWISHA...

KWANINI? KWASABU NI MUONGOZO KUTOKA KATIKA ULIMWENGU WENYEWE/CHANZO/ SOURCE.

Mbona sasa ameshindwa kujenga msingi imara wa kiutawala ja kiuongozi?
 
Umejibu vizuri.

Mtoa mada hajaeleza kwa hoja kwa nini watu waliohai wasijenge Kiwanja cha ndege Serengeti kisa aliyekufa hakufanya hivyo.

Kwamba hoja yake ni jambo ambalo halikufanywa na Nyerere lisifanywe?
Hii hoja inamapungufu Makubwa
Wanaotaka kujenga uwanja wa Ndege Mbugani, hawana hoja.

Na kibaya zaidi nimefuatilia, hawana pesa wanataka kupora pesa PSSSF, NSSF za wastaafu.

Waboreshe uwanja wa ndege wa Mwanza na barabara
 
Ktk Africa sijaona rais aliye hai au aliyekufa ambaye alikuwa na Nia ya dhati ya kuwaletea maendeleo wenzake wakati yeye akibakia vilevile akiridhika na vichache alivyonavyo.
Yeyite anayemponda Nyerere au atakayekuja kumponda Nyerere kwa makosa mengi ambayo ni irrelevant ni mvivu wa kufikiri au ni opportunist ambaye anaamini akifanya hivyo itamsaidia kwa mazingira yake ya kipato kama baadhi ya watu ktk huu uzi

Maisha ya mtu kuna mazuri na mabaya. Madhaifu na ubora.
Watu kuponda mabaya au udhaifu wa mtu sio uvivu wa kufikiri au opportunist

Ni kama wewe unayeona mazuri au uhora wa mtu wakuambie huna akili
 
Back
Top Bottom