Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,856 Jan 8, 2016 #1 Kigogo huyu wa serekali amechimba dawa hadharani.Chezea kojo weyeee
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,258 Jan 8, 2016 #3 huyu ni kigogo wa wapi au sababu ya suti aitwa kigogo
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,258 Jan 8, 2016 #5 mpigwaji yupo faragha PAGAN said: Weka picha... Click to expand...
Walnut Creek JF-Expert Member Mar 17, 2009 5,830 6,308 Jan 8, 2016 #6 Kibo10 said: View attachment 315600 Kigogo huyu wa serekali amechimba dawa hadharani.Chezea kojo weyeee Click to expand... Acha hizo.Alikuwa ana adjust kitambi iliapite katikati ya hayo matairi.
Kibo10 said: View attachment 315600 Kigogo huyu wa serekali amechimba dawa hadharani.Chezea kojo weyeee Click to expand... Acha hizo.Alikuwa ana adjust kitambi iliapite katikati ya hayo matairi.
Radhia Sweety JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,433 1,771 Jan 8, 2016 #7 Huyo ni Mzimbabwe. Hapo ni Bulawayo
Tarakilishi JF-Expert Member May 19, 2013 2,181 2,448 Jan 8, 2016 #10 Angekuwa babaako/mama yako ungepost hiyo picha na maneno hayo? Ni hekima kidogo tu inahitajika kutambua upumbavu uloufanya.
Angekuwa babaako/mama yako ungepost hiyo picha na maneno hayo? Ni hekima kidogo tu inahitajika kutambua upumbavu uloufanya.
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,562 48,209 Jan 8, 2016 #11 Bwanyeye huyo anashindwa kupita kiurahisi hapo. Huyo hakojoi wala nini. Si unaona hapo hajashika dudu wala nini
Bwanyeye huyo anashindwa kupita kiurahisi hapo. Huyo hakojoi wala nini. Si unaona hapo hajashika dudu wala nini
samsun JF-Expert Member Feb 9, 2014 7,386 5,963 Jan 8, 2016 #12 Thubutu yake kwa wajeda hapo ( kambi ya jeshi ya Lugalo wanakouza hayo Matrekta ) wasingemwacha hata kama ni kigogo.
Thubutu yake kwa wajeda hapo ( kambi ya jeshi ya Lugalo wanakouza hayo Matrekta ) wasingemwacha hata kama ni kigogo.