democratic
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 1,642
- 295
Mkuu mtaje basi ili tufurahi kwa CCM kunangwa! wengine tuko mbali hiyo TV haifiki Kimanzichana
watamfanya kama naibu wa ujenzi,ni bora asimtaje.
Mkuu mtaje basi ili tufurahi kwa CCM kunangwa! wengine tuko mbali hiyo TV haifiki Kimanzichana
Ole SendekaMkuu mtaje basi ili tufurahi kwa CCM kunangwa! wengine tuko mbali hiyo TV haifiki Kimanzichana
Sikumbuki
jina lake ila alijitambulisha kama balozi wa nyumba kumi CCM. kwa
walioangalia Mlimani TV usiku watakuwa wameona vizuri