CHENGU MANURE
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 914
- 567
kigogo = mmiliki wa pesa nyingi ambazo hakuzipata kihalali.
Mfano wa vigogo
riz1
Kigogo = mmiliki wa pesa nyingi ambazo hakuzipata kihalali.
Mfano wa vigogo
Riz1
Kwangu Kigogo sio mtu
1.kigogo ni Jina la sehemu
2.Kigogo ni kipande cha kinyesi (refer gogo)
Shkamoo kigogo
hili suala la kuitana vigogo, kigogo chanzo chake kilikuwa ni nini na wapi, Na pia nini hasa tafsiri ya neno kigogo.
kuna
kigogo wa serikali.... kigogo wa tra akamatwa ...
kigogo wa chadema... mfano kigogo wa chadema auwawa geita..
kigogo wa madawa ya kulevya...
mke/mtotot wa kigogo...
kigogo wa kanisa flani.....
etc. hii kitu ipo dunia nzima au ni tanzania tu, nini kigezo cha mtu kuwa kigogo, na hawa vigogo wanafaida gani nchini.
Msamiati huu tata wenye kuwapa watu vichwa bila sababu bora ufutwe rasmi kama hauna tija.
Ulaya vigogo huwaita logs yaani "two logs have been accused for smuggling" yaani "vigogo wawili watuhumiwa kwa usafirishaji kinyume".
Kigogo maana yake ni ukongwe au ukubwa au umaarufu zaidi ya wengine mfano vigogo wa ligi kuu ya uingereza manchester,arsenal,chelseahili suala la kuitana vigogo, kigogo chanzo chake kilikuwa ni nini na wapi, Na pia nini hasa tafsiri ya neno kigogo.
kuna
kigogo wa serikali.... kigogo wa tra akamatwa ...
kigogo wa chadema... mfano kigogo wa chadema auwawa geita..
kigogo wa madawa ya kulevya...
mke/mtotot wa kigogo...
kigogo wa kanisa flani.....
etc. hii kitu ipo dunia nzima au ni tanzania tu, nini kigezo cha mtu kuwa kigogo, na hawa vigogo wanafaida gani nchini.
Msamiati huu tata wenye kuwapa watu vichwa bila sababu bora ufutwe rasmi kama hauna tija.
Hahahah!...hilo la Kenya,lugha sanifu hamwezani nalo...hahah.
Nyote mliochangia hapa mmefeli..
Manyang'au washavamia Uzi, hamkawii kusema na kiswahili ni cha kwenu enyi wazee wa kupenda sifa