Prof.PALAMAGAMBA KABUDI,simuoni hapa ukumbini maana ni gwiji wa sheria ila amekuja na rasimu yenye viraka makumi kwa mamia.
Itabidi azichukue hizi hoja azipeleke kwa WARIOBA
Huyu Mzee anaongea point Nzuri sana, anatufungua fikra zetu kuhusu rasimu ya katiba.
prof amefunguka sana na nadhani alichokiongea leo kimejenga msingi mkubwa sana wa tafakari ya muundo wa serikali tatu na manufaa yake kwa watanzania wa hali ya chini.
kwa maelezo haya ya shivji binafsi naona muundo wa serikali 3 si mbaya ila unahitaji umakini wa hali ya juu na marekibisho makubwa kuahinisha mipaka,vyombo vya usalama vya tanganyika,zanzibar na shirikisho,vyanzo vya mapato vya serikal ya shirikisho, protocal za viongoz wote wa tanganyika,zanzibar na shirikisho japo c muhimu ila kwa rasimu hii ni wazi kua kutakua na kutunishiana misuli na kujitutumua kusikokua na tija kwa viongoz wetu.
mzee warioba na timu yako kwa hili la serikali tatu nadiriki kusema haukujipanga ulikurupuka,ni vyema ukajipanga upya kwenye draft 2 ya katiba.
ila tukiliacha hili likapita ni wazi kutakua na mgongano mkubwa ambayo itapelekea migogoro isiyokua na tija.
UDSM will remain the best University in Tanzania
Ni connection ya hii mada mkuu kwani ww huoni ni Akina nani walioandaa, walio high table na mengineyo?Duh, mkuu vp tena, mbona unaturudisha nyuma kwenye mada zilizopita humu JF??? Nini kusudi lako ndugu??
mimi binafsi naona tatizo siyo kuwa na serkali ya zanzibar inayojiamulia mambo tatizo lililopo ni kuanzisha mjadala wa serkali ya tanganyika. Shivji ana kigugumizi gani juu ya uwepo wa serkali ya zanzibar. Je nongwa ni kuifufua serkali ya tanganyika ilikufa mwaka 1964 au ni nini? Hakuna hekima iwezayo kuzima pungufu wa uwepo wa serkali mbili unaopuuza kuwepo kwa serkali ya tanganyikakwa maelezo haya ya shivji binafsi naona muundo wa serikali 3 si mbaya ila unahitaji umakini wa hali ya juu na marekibisho makubwa kuahinisha mipaka,vyombo vya usalama vya tanganyika,zanzibar na shirikisho,vyanzo vya mapato vya serikal ya shirikisho, protocal za viongoz wote wa tanganyika,zanzibar na shirikisho japo c muhimu ila kwa rasimu hii ni wazi kua kutakua na kutunishiana misuli na kujitutumua kusikokua na tija kwa viongoz wetu. Mzee warioba na timu yako kwa hili la serikali tatu nadiriki kusema haukujipanga ulikurupuka,ni vyema ukajipanga upya kwenye draft 2 ya katiba. Ila tukiliacha hili likapita ni wazi kutakua na mgongano mkubwa ambayo itapelekea migogoro isiyokua na tija.