stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Umri una determine v2 vingi sana katika uhusiano
Machache nae utasemaje?Umri ni no tuuu....
Kikubwa weng wanasema mpishano uzizid 5 yrs
Nimekumiss nilikuwa nataka jua hali yako, vipi mzima wewe?Cijakupata ujue...
Nimekumiss nilikuwa nataka jua hali yako, vipi mzima wewe?
Tufanye jumapili ukirudi kanisani kama kawaida yetu, leo itakuwa vigumu au sio wangu?!Miss u much .....niaje jamni.
Mim mzima pitia home upate japo juice
ngoja waje waongee wengine, ila mimi mume wangu ni mkubwa kwangu kwa miaka 9 na sasa tuna miaka mitatu ya ndoa na tayari tuna watoto wawili wa kike(pacha) wana miezi 11, sijawahi kujuta na wala sijawa na wazo, jinsi anavyonilea nikifanya kitu utasikia no honey wewe bado mtoto acha nitafanya mimi kiukweli ni maelewano ya kwenda mbele, nilivyojifungua akaniambia miezi 9 uliyobeba mimba imekutosha sasa ni zamu yake kuhudumia watoto, na akitoka ofisini unaona masikio yamemsimama kama popo mgeni anawahi kufanya kazi nyumbani. kiukweli umri ni jambo la muhimu. nadhani ningekuwa na waumri wangu mambo yangekuwa mengine.
kwa mtazamo wangu umri unachukuliwa kama kigezo kutokana na ...
1.mwanamke anawai kupevuka sana kiakili kuliko mwanaume.hivyo wapenzi wa umri sawa mf 24.mwanamke atakuwa na uwezo mkubwa wa kufikili kuliko mwanaume..hivyo inapendeza kama mwanaume akamzidi miaka kidoo mpenzi/mke wake ili uelewa wake ukue.
2.kimaumbile mwanaume anachelewa sana kuzeeka kuliko mwanamke.hasa baada ya kujifungua mwili wa mwanamke unachoka halaka..xo ili kuepusha utofauti wao ni vema mwanaume akamzidi kidogo mwanamke ili waweze kwenda sawa...
3.heshima..mwanamme akimzidi umri mwezake heshima inakuwepo kwani atakuwa na uelewa mkubwa sana wa jinsi ya kuiongoza familia yake.na mwanamke atamuheshimu..mtazamo tuuu..
Miss u much .....niaje jamni.
Mim mzima pitia home upate japo juice
Tufanye jumapili ukirudi kanisani kama kawaida yetu, leo itakuwa vigumu au sio wangu?!