I might seem crazy for what am about to say.... Heheheheheeee wooooyooooo.... Naanza na cheko kubwaaa na kelee miingiiii aahahhahaahahaaaaa looh, ngoja nijaribu kuwa mtulivu na mpole kama hulka yangu ilivyo tofauti na baadhi ya watu ambao wamekuwa wakiniambia niko mjanja mjanja, mtundu...