Kigezo cha dini katika mapenzi

afadhali yako wote ni wakristo daaa wengine tuna mitihani ya ajabu ajabu sijui mwisho wake
 
ila jamani tunapoanza urafiki tuwe makini...Sawa mtu aweza sikiza moyo wake na akaoa ila inategemea na familia yake ikovipi karibu nae...
Kuna familia nyingine inakuwa na kitim tim ...Utalazimisha kuoa lakni kila kukicha hutakuwa na amani na ndoa yako...

Wazazi watakutenga, Mawifi hawatampenda mkeo, halafu kama ilivyo ndoa ikishakaa miaka kadhaa hupungua upendo pengine kukawa na ugomvi mdogo mdogo, basi hapo ndipo watapatia chance watafanya makusudi kukutafutia mwanamke, au kumletea mume wanawake...na wewe mwanamke ukiingia mkingi tuu....Bass uliyemuoa unamuacha.

Sawa sikiza moyo wako, pia bembeleza wazazi wako wamkubali, wasipo mkubali hapo kaaazi..



Unaoa wewe wala si wazazi wako. Usikilize moyo wako kaka na ufanye maamuzi magumu.
 
sure..................



 
Haya madhehebu ni matatizo matupu ha Sabato na Jehova hawa ni wakristo wenye misimamo mikali sana. Hawaambiliki na hawabadiliki!
 
Haya madhehebu ni matatizo matupu ha Sabato na Jehova hawa ni wakristo wenye misimamo mikali sana. Hawaambiliki na hawabadiliki!

Sasa kwenda airport bila ticket wala passport na viza eti waende Ulaya hilo ni dhehebu au kundi la mataahira tu? Hawa ni mapunguani tu fullstop.
 
Hata Lucky Dube alijuta alichoambiwa na mamaye kuhusu kuoa akapuuza...ndio maana akaimba - It's Not Easy........

Conclusion: Wazazi wanaumuhimu sana katika maamuzi yako ya ndoa so ongea nao vizuriii.





 

Umeshauliza kwa mke mtarajiwa umeshakubaliwa isije nawao wakatia mgomo
 
Mh wazaz wanaumuhimu mkubwa sana...kuna mtu wanatafuta ata mzazi wa bandia ili tu amshauri ila anakosa so kuwa makini na ushauri wa wazazi
 
Acheni faraja za kibwege,maandiko hamsomi,"mtu atamwacha babaye na mamaye ataambatana na mumewe/mkewe na watakuwa mwili mmoja na watakuwa mmoja" hapo hakuna dini,dhehebu wala Kabila au rangi,Kwani adamu na hawa walikuwa dini gani wale!!???


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanza wazazi kwenye mapenzi ya watoto,wao ni Kama mashahidi tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huwa natamani sana kujua haya madhehebu ya kikristo huwa yametofautiana wapi. Lutheran, Catholics, Protestants, etc.

Tofauti ipo
Ngoja ipo cju itabidi kuwe na uzi wake kabisa
 
Mnasumbuliwa na akili ndogo tu wala si bure, hata Yesu anawacheka maana hakuwaachia madhehebu na kama kuna andiko la dhehebu lako ndio analitambuwa Yesu nipe andiko na mimi nijiunge kwenye hilo kanisa lenu.

Hahahaa haaaa
Sema Wewe mkuu.
Wakristo hawajitambui.
Kuna mstari fulani hivi ndo huwa wanausimamia
Wa kuishika sabato
 
nilishakuwa na dem wa kigoma miaka fulani, nilimkuta bikra, nilimgegea mara kama kumi hivi, alikuwa anavaa ushungi mwili tii anavua tu anapokuja kwangu kupata huduma. kwasababu ya dini yake ya ISIS, nilimtegea kipindi cha ramadhan, nikamwambia kwasababu ya mfungu sitakusumbua hata kwa simu, nikabadilisha na line toka siku iyo sijui yuko wapi. nilikimbia na nilibahatika kuwa ndio nahama kikazi mji huo.
 

Yesu hakuleta dini wala dhehebu.
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu.
Christian is not a religion.....
Ni mahusiano kati ya Mungu na mwanadamu. ...Yesu alikuja kurudisha haya mahusiano yalivyokuwa yamepotea baada ya anguko la kwanza.
 
Haya madhehebu ni matatizo matupu ha Sabato na Jehova hawa ni wakristo wenye misimamo mikali sana. Hawaambiliki na hawabadiliki!

Umeona eeh!
Mi sielewi wanahubiri nn
Mfano, mashahidi wa jehova Eti mtu akiumwa ht km kapungukiwa damu marufuku kuongezewa...khaaaaa! Huwa nashangaa mpaka leo!

Wakristo wengi shetani kawabana hapo kwenye dini/dhehebu lkn neno lenyewe hawalijui wanatafusiri tofauti. ...unachukukuwa mstari 1 na unatolewa tafsiri. ...
Biblia inasema ' neno huuisha bali andiko huua'
Shida iko hapo.
 
Kwani nyote si Wakristo, naona hakuna tatizo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…