akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,767
- 1,155
tofauti gani ipo kati ya msabato na mkatoliki....?
ndio ninachofikiria tu,niwanunulie wazee hata rav 4 new model ili wanipe go ahead.
Huwa natamani sana kujua haya madhehebu ya kikristo huwa yametofautiana wapi. Lutheran, Catholics, Protestants, etc.
Dini ni muhimu sana kwenye mapenzi hasa ndoa.Maelezo yako yanaonesha mnatarajia kuoana baada ya miaka miwili ushauri wangu kwa kuzingatia pia Mimi ni MSABATO ...huyo binti aanze kusali SDA abatizwe na awe mshiriki wa kanisa.Hiyo itakusaidia kumkuza kiroho na kufata imani yako ..akifanya hivyo na wazazi wako wakiona ameanza utumishi hawatakuwa na pingamizi lolote.
NB: ni vizuri kufuatilia kwa ukaribu kuna watu wengine hasa
wasichana wanakubali tu kuwa watabadili dini wanaweza badili kweli lakini ukisha muoa tu sababu kibao haendi/ hashiriki kazi za kanisa ...anachobakia nacho ni kufikiria dini yake ya awali hivyo tunapaswa kuwa makini zaidi ndo sababu wazazi wanasisitiza msabato pure
Karibu south nyanza conference kaka
Mnasumbuliwa na akili ndogo tu wala si bure, hata Yesu anawacheka maana hakuwaachia madhehebu na kama kuna andiko la dhehebu lako ndio analitambuwa Yesu nipe andiko na mimi nijiunge kwenye hilo kanisa lenu.
Swala la dini na imani ni gumu sana kila dini ina misingi yake Mkuu na sivyo unavyofikiria...ndo kwa sababy kukawepo na Uhuru wa dini na kuabudu hivyo kama mtu hakubaliani na misingi ya dini husika atahamia pale anapoona pana mfaa na si kubadilisha misingi ya dini/ dhehebu husika.
Niliyoandika hapo ndio msingi wa wasabato.
waelekeze wasipo elewa oa kwanza wataelewa kwa vitendoAisee mimi bwana nina mpenzi wangu ambaye tunampango inshaallah miaka miwili ijayo tuoane.
Sasa nimejaribu kuleta hili swala kwa wazazi wangu japo sikuwa rasmi lakini wanaonekana kama hawajapenda na mipango yangu ya kuoa msichana mkatoliki wakati mimi ni sabato.
Msichana wangu hana tatizo juu kubadili dini lakini hata hivyo bado wazazi kama wanataka msabato pure.
Isitoshe huyo msabato sijampata bado ila huyu binti namjua vizuri mpaka wazazi wake.
Napata wakati mgumu na hili swala kwamba niwafurahishe wazazi au nafasi yangu?
Dini ni muhimu sana kwenye mapenzi hasa ndoa.Maelezo yako yanaonesha mnatarajia kuoana baada ya miaka miwili ushauri wangu kwa kuzingatia pia Mimi ni MSABATO ...huyo binti aanze kusali SDA abatizwe na awe mshiriki wa kanisa.Hiyo itakusaidia kumkuza kiroho na kufata imani yako ..akifanya hivyo na wazazi wako wakiona ameanza utumishi hawatakuwa na pingamizi lolote.
NB: ni vizuri kufuatilia kwa ukaribu kuna watu wengine hasa
wasichana wanakubali tu kuwa watabadili dini wanaweza badili kweli lakini ukisha muoa tu sababu kibao haendi/ hashiriki kazi za kanisa ...anachobakia nacho ni kufikiria dini yake ya awali hivyo tunapaswa kuwa makini zaidi ndo sababu wazazi wanasisitiza msabato pure
Karibu south nyanza conference kaka
Kaka kaa chini na wazazi waeleze kwa upole huyu ndio chaguao langu. Japo huwaga ni wagumu kuelewa simama kwa nafasi yako wkiwa wakali waache usibishane nao ludi siku nyingine waeleze msimamo wako huo huo watakuelewa tu. Mimi wazazi wangu ni walokole na nimeolewa na mwislam ilikuwa kazi ngumu kunielewa haswa mama lakini mwisho wa siku alikubali na ndoa yangu imekua mfano wa kuigwa tofauti na hao aliowaozesha na walokole wenzie. mshirkishe Mungu jambo hilo kama ni mpango wake litakubaliwa tu na wazazi.
kaka afadhali mara mia we mkiristo kwa mkiristo...sasa nyingine mwanamke mlokole we msilamu.mi imefika maala nimeamua kuacha tu.maana nimeogopa kuja kujuta
waelekeze wasipo elewa oa kwanza wataelewa kwa vitendo