tofauti gani ipo kati ya msabato na mkatoliki....?
acha nimeze mate kwanza! ila kaka kua makini na moyo wako! Kwanza je imani yako inakuambiaje juu ya hilo? je kwanin ww usiwe mkatoliki?
Mkuu fanya maamuzi mapema kabla huyo binti hajaumia...
washawishi wazazi wako wakubaliane na wewe kwanza nafuu wote ni wakirstu.
Achana nae tafuta msabato mwenzio
tofauti gani ipo kati ya msabato na mkatoliki....?
Unaoa wewe wala si wazazi wako. Usikilize moyo wako kaka na ufanye maamuzi magumu.
Kaa chini na wazazi wako waeleze kwa ufasaha kua huyu ndo mke uliemuona na uwaambie amekubali kubadil dini na waambie umempenda yeye na huna mwingine.
Wazaz wako sio watakao kaaa na huyo binti ni wewe mwenyewe hivo.jukumu la kutafta mke bora lipo mikononi mwako, wazaz wanatakiwa kua washaur na sio kuchagua yupi bora kwao
Mara zote huanza mapenzi, dini baadaye. Ndiyo maana ulivovutiwa naye kwa mara ya kwanza hakuwa ameandikwa dini usoni, hata ulivoongea naye siku ya kwanza sidhani kama ulimuuliza dini yake! Jifunze kufanya maamuzi yako, usiwe nyenyenye mtoto wa mama kila kitu unaenda kusemelea!
yah kuna kipindi nikajaribu kuangalia mabinti wa imani yangu, kwakwel nikiwalinganisha na huyu wangu wa sasa anawazidi mno
tofauti gani ipo kati ya msabato na mkatoliki....?
Wakatoliki washaanza kutambua mashoga ,wasabato bado.
Makubwa haya, atoke ukristo aingie ukristo? naona ni kama kuruka ... kukanyaga...
Halafu mkatoliki, ni Insha Allah.
hawa jamaa wasabato huwa nawashangaa sana mambo yao imani yao na matendo yao
Kiukweli yapo mambo ambayo kimsingi ni muhimu kuzingati ktk kuchagua mwenza lazma uendane naye si kuokota tu
1. MWENENDO AU TABIA YAKE
2. HISTORIA YA FAMILIA YAKE MAANA WENGINE WACHAWI tehhhh
3. uelewa wake. Hapa elimu pia inaangaliwa
4. Dini yake....... Ni ngumu kumbadilisha mtu mtizamo wa dini yake katka utu uzima.. Atajilazimisha tu ili akupate.. Lakin kimsing imani yake bado itakuwa ktk dini iliyomlea
na ukweli ni kuwa watu waliooana kwa kubadilishana dini.... Mmoja akifariki au wakiachana kila mtu anarudi ktk dini yake ya awali
Mkatoliki ala kitimoto, msabato hali, mkatoliki jumamosi anapika na anaenda haja, msabato hapiki, hali wala haendi haja, wakati wa tendo mkatoliki anatikisika, msabato dini hairuhusu, niongeze nyingine@Kabanga?