Naogopa vigari vya milango miwili, naona kama nikipanda nyuma nazimia.
I wanna study you, and i will graduate
Nimechekaje..... hii Kali
Naogopa sana sehemu zilizo confined, hamna dirisha, siwezi kuona nje, lift napanda sababu basi tu, na mara nyingi napenda ngazi.
Imagine siwezi ingie club, pamoja na hobi kuwa hafifu lakini pia sioni madirisha.
Anyway, am vere oldi.
Naogopa vigari vya milango miwili, naona kama nikipanda nyuma nazimia.