ILEMI MBEYA KWETU
Member
- Sep 29, 2013
- 30
- 22
Leo Mida ya saa saba mchana nilienda kumtembelea jamaangu mmoja kwa mazungmzo zaidi ya kulainisha vyuma hivi vilivyoshikilia,. Nikiwa njiani narud home, nikakutana na zogo. Ipo hivi, nimekuta mzee mmoja anamfukuza binti yake wa kumzaa nyumbani kwasababu amegundulika ni mjamzito ilhali anaish nyumbani. Nimeshuhudia kwa macho yangu binti akiwa ameshikilia mlango kwa nguvu huku akilia "BABA NISAMEHE, NITAENDA WAPI MI I?" mzee akimvutia nje. ikanibidi nisogee na kumuuliza mzee kulikoni. Mzee akajibu "HAWA WATOTO WA KIKE NI HASARA, BORA WAKIUME KABISAAA" baada ya mazungmzo marefu na nasaha Za kutosha mzee akakubali japo kishingo upande binti kuingiza virago vyake ndani. Duh binti amenishukuru Sana. Kwani kupita kwangu imekuwa msaada kwake MY TAKE ;hakuna mtoto bora. Hata Hao wa kiume mbona siku hizi MASHOGA kibaooo
