pale kivukoni ingebidi liwe juu sana ili meli ziweze kupita kwa hiyo inabidi liwe reeefu ili lisiwe too steep,mimi sio civil engineer lakini najaribu tu kujenga logic
starting of 3 way road from the bridge to Kisiwani,patr of this raod, about a km or two will have to be constructed by Tanroads,hoping they won't drop the ball
construction of the bridge levy collection point for cars as well as administration building has started, as seen on the photo.
Majority of those to be paid to clear for the road construction has been paid, Vijibweni mosque has been relocated paving way for a wide 3 way road
Je hili daraja ni maandalizi ya Mji wa Kigamboni....kwa nini limepewa kipambele?Kama hujenzi huu hauendi sambamba na ujenzi wa mji mpya wa kigamboni basi mradi/ujuzi huu hauna tija it will be a bridge to nowhere. Fund should be allocated to serve majority HIYO NDIO TIJA
Natamani kuja kuuona mji wa kigamboni na daraja zuri

Kuna familia 3000 za wamarekani zinakuja kukaa kigamboni, nna jamaa yangu yupo kwenye kampuni moja ya waturuki wamepewa tender ya kufunga lift kwenye magorofa yatakayo jengwa
Je hili daraja ni maandalizi ya Mji wa Kigamboni....kwa nini limepewa kipambele?Kama hujenzi huu hauendi sambamba na ujenzi wa mji mpya wa kigamboni basi mradi/ujuzi huu hauna tija it will be a bridge to nowhere. Fund should be allocated to serve majority HIYO NDIO TIJA
Natamani kuja kuuona mji wa kigamboni na daraja zuri
kwahio wewe unaona kuwa maelfu ya watanzania wanaoishi kigamboni sasa hivi hawastahili kujengewa daraja ili kuondolewa kero ya usafiri unaosabibishwa na watu/magari kutegemea pantoni mbili za mwaka 1920??!! hili daraja ni kwa ajili ya wananchi wa kigamboni huo mji mpya uje au usije kujengwa kwa hili daraja kuna tija kwa wakazi wa kigamboni.

Kipaumbele cha CCm ni kuiba zote kama za ESCROW liwalo na liwe! Kumbe mafisadi huwa yana iba madaraja mengi tu ya Kigamboni halafu watawala wanachekacheka, maweeeeh!