Kigamboni Bridge at Night Looks so Beautiful

usiku linaonekana kama nyumba au godown.
 
Wakenya wameshaanza kuitangaza kama ya kwao.
Haina shida,acha tu watusaidie kulutangaza hilo daraja so long as geographical coordinate za google map na google earth zinaonyesha lipo dar es salaam tanzania.hawamdanganyi mtu zama hizi.
walifanikiwa kuwandanya wazungu miaka ya nyuma kuhusu location ya mlima Kilimanjaro,sasa hivi hawawezi tena.
 
Naona nikama wanazidi kujidharilisha wenyewe
 
Naona nikama wanazidi kujidharilisha wenyewe
Tunapo waita wakenya ni nyumbu waliotukuka huwa hutuwaiti kwa kuwaonea,tunazo sababu za msingi.

hivi ktk historia ya jumuiya ya EA,kuna mtz aliyewahi kuitangazia dunia vivutio vya kenya vipo tz?.
 
Hayo ni madoido ili tusahau ufisad na gharama walizotoa nssf

usiku linaonekana kama nyumba au godown.
sio kila thread ni ya kulazimisha kupigia porojo zenu za kisiasa.hata kama mngepita tu kimya kimya,bado tungetambua uwepo wenu hapa JF.
nimelisema hilo kiroho safi tu.sina ubaya nanyi.
asanteni na karibuni tena.
 
Ni dalili ya kukubali kuwa TZ sasa inakimbia na hawatowahi kuikaribia tena.
Mwekezaji no. 1 TZ Ni Kenya ikifuatiwa na afrika kusini. Kenya wana kampuni nyingi kubwa hapa TZ yakiwemo mabenki kadhaa
 
Nendeni mkate vyuma basi muuze scraps, si ndivyo tulivyozoea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…