Kigali Peace Marathon

Dr Kyaligonza

Member
Joined
May 21, 2019
Posts
5
Reaction score
2
Habari zenu, nimeona kwenye mtandao mmoja huku team nyingi za riadha kutoka Tanzania zimejiandikisha kushiriki Kigali Peace Marathon..
Kama mwenzenu ningeomba mnitumie kutafuta affordable accomodation huku..
Vilevile kuna comission kwa atakayeniunganisha na group au watu watakao kuja..
Ndio biashara yangu huku nina tour company..
Regards..
 
Biashara yako ipo wapi na inaitwaje?

Dr unataka kufanya kila kitu wewe huoni umuhimu wa taaluma za wenzako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…