Kigali city introduces walk to work days,no cars on streets

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410

Rwanda’s capital Kigali was nicknamed ‘Little Europe’ by Europeans and Asians for its ambitious plans and neatness. And Kigali city has scored another first.

The city has announced a regular car free days. According to the city mayor, particular streets will be closed off for car use to allow people walk to work. Last Sunday was the second car free day in Kigali. Residents had fun using roller, skates, skating boards and bicycles to get around the city.

Rwanda is renown for community initiative called umunsi w’omuganda. On the day, all able-bodied people between 18 and 65 are required to participate in the clean-up exercise in their communities.

The car free days are aimed at “encouraging mass sports and exercise along the affected route through introducing the much anticipated green transport and green city,” according to City Mayor Monique Mukaruliza.

Be fit, be healthy

“In a bid to promote healthy lifestyle for the residents of Kigali, the City authorities have introduced mass sports and exercises, to encourage people to walk, jog as well as ride bicycles. It is in this context that we have introduced a monthly car-free day, and this month it will happen on May 29,” he says.

Source: Lusaka Times
 
Kila siku nasema sisi Waafrika Wazungu hatuwaelewi, tunajaribu kuwaiga lkn hatuwaelewi kabisa matokeo yake tunaonekana vituko kwenye uso wa Dunia, ona sasa nchi ya third World yenye kila aina ya matatizo yajulikanayo na binadamu eti nao wanasema kwamba magari yamezidi wkt hapo hapo 90% ya wananchi wake wala hawajawahi kuoana gari la Wagonjwa wala Zima moto!

Kwa nini wasitutumie huo muda kufanya kampeni kuondoa njaa, utapiamlo, ujinga, ujauzito wa watoto wa Shule? Haya ni mambo ya first World huko ambako uwiano wa mtu na gari unakaribia 1:1 sasa Unyarwanda labda 1:1000 halafu mnatumia fedha kufanya Kampeni juu ya hilo kweli?
 
Kila siku nasema sisi Waafrika Wazungu hatuwaelewi, tunajaribu kuwaiga lkn hatuwaelewi kabisa matokeo yake tunaonakana vituko kwenye uso wa Dunia, ona sasa nchi ya third World yenye kila aina ya matatizo yajulikanayo na binadamu eti nao wanasema kwamba magari yamezidi wkt hapo hapo 90% ya wananchi wake wala hawajawahi kuoana gari la Wagonjwa wala Zima moto!

Kwa nini wasitutumie huo muda kufanya kampeni kuondoa njaa, utapiamlo, ujinga, ujauzito wa watoto wa Shule? Haya ni mambo ya first World huko ambako uwiano wa mtu na gari unakaribia 1:1 sasa Unyarwanda labda 1:1000 halafu mnatumia fedha kufanya Kampeni juu ya hilo kweli?
Wanataka waonekane wa kimataifa.
 
Kila siku nasema sisi Waafrika Wazungu hatuwaelewi, tunajaribu kuwaiga lkn hatuwaelewi kabisa matokeo yake tunaonekana vituko kwenye uso wa Dunia, ona sasa nchi ya third World yenye kila aina ya matatizo yajulikanayo na binadamu eti nao wanasema kwamba magari yamezidi wkt hapo hapo 90% ya wananchi wake wala hawajawahi kuoana gari la Wagonjwa wala Zima moto!

Kwa nini wasitutumie huo muda kufanya kampeni kuondoa njaa, utapiamlo, ujinga, ujauzito wa watoto wa Shule? Haya ni mambo ya first World huko ambako uwiano wa mtu na gari unakaribia 1:1 sasa Unyarwanda labda 1:1000 halafu mnatumia fedha kufanya Kampeni juu ya hilo kweli?

Umekaririshwa wewe huijui Rwanda ya Kagame, dunduliza vijisenti kidogo utembelee Rwanda ujionee ukweli kuhusu Rwanda!
 
Sina haja ya kutambelea Rwanda kujua kwamba Rwanda ni third World country yenye matatizo ya third World Country, per capital income ya Rwanda ni chini ya 800 USD, hivyo ni moja kati nchi masikini kabisa Duniani, hivyo kwangu mimi kuleta mambo ya sijui kuanzisha Kampeni dhidi ya magari kwenye nchi amabyo hata Ambulance wala zimamoto hakuna ni ujinga na ulimbukeni uliopitiliza!

Kama hayo magari yamewazidi kwa nini
wasiyageuze kuwa ya kubebea wagonjwa au Zimamoto ili yasaidie watu?
 
Kila siku nasema sisi Waafrika Wazungu hatuwaelewi, tunajaribu kuwaiga lkn hatuwaelewi kabisa matokeo yake tunaonekana vituko kwenye uso wa Dunia, ona sasa nchi ya third World yenye kila aina ya matatizo yajulikanayo na binadamu eti nao wanasema kwamba magari yamezidi wkt hapo hapo 90% ya wananchi wake wala hawajawahi kuoana gari la Wagonjwa wala Zima moto!

Kwa nini wasitutumie huo muda kufanya kampeni kuondoa njaa, utapiamlo, ujinga, ujauzito wa watoto wa Shule? Haya ni mambo ya first World huko ambako uwiano wa mtu na gari unakaribia 1:1 sasa Unyarwanda labda 1:1000 halafu mnatumia fedha kufanya Kampeni juu ya hilo kweli?
Angalia huyu mwafrica lembululas na ubongo wake kama punje ya karanga, hayo mapovu watu wanaweza kufikiri wewe ni mwehu
 
Wewe na wao wanaofiri hivyo ndiyo wehu, unapaswa unijibu maswali yangu kama magari yamewazidi kwa nini wasiyageuze kubebea wagonjwa au zima moto?
 
Hivi wewe mbulula unafikiri magari yote Kigali ni community property uyageuze unavyotaka wewe? na nani alikuambia hawana magari ya zimamoto na kubebea wagonjwa or you just assume kutokana na kukulia kwenye umaskini uliokithiri
 
Hivi wewe mbulula unafikiri magari yote Kigali ni community property uyageuze unavyotaka wewe?

Point yao ni kwamba magari yamezidi Kigali, hivyo kwa logic ya kawaida kama magari yamewazidi ina maana wanayo zaidi ya wanavyoyahitaji, sasa kama ni hivyo basi kwa nini wasiyegeuze ya kubebea wagonjwa au zimamoto kwa maana Rwanda kuna matatizo makubwa ya usafiri!
 
You should have learned the facts and reasoning behind it kabla hujaja na conclusion zako ambazo they don't make any sense,unaonekana ulikimbia critical thinking classes
 
You should have learned the facts and reasoning behind it kabla hujaja na conclusion zako ambazo doesn't make any sense,unaonekana ulikimbia critical thinking classes

Wewe pamoja na hao watu Kigali ndiyo hamna critical thinking, kwani haingii akilini moja ya nchi maskini kuliko zote Duniani yenye per capital ya chini ya 800 USD ianzishe Kampeni dhidi ya matumizi ya magari, nijuavyo mimi Wazungu na nchi nyingine zilizoendelea ndiyo hufanya hivi lkn huamua kufanya kwa sababu hakuna sababu ya Mwananchi wa nchi kuwa gari kwani kila kitu kipo na kinafanya kazi, sasa Rwanda unapoanzisha kampeni ya anti magari wakati 3/4 ya wananchi wake wanatembea zaidi ya kilometa 20 kufwata huduma za jamii hiyo ni akili au matope?
 
Point yao ni kwamba magari yamezidi Kigali, hivyo kwa logic ya kawaida kama magari yamewazidi ina maana wanayo zaidi ya wanavyoyahitaji, sasa kama ni hivyo basi kwa nini wasiyegeuze ya kubebea wagonjwa au zimamoto kwa maana Rwanda kuna matatizo makubwa ya usafiri!
Barbarosa utabishana nae sana hata kuelewa.....kwanza muulize hayo magari anayoyasema hapa kigali ni yapi manake kigal nzima ukiyahesabu hayafiki hata nusu ukisimama pale ubungo mataa kuanzia saa moja mpaka saa nne ukahesabu yankutokea kimara wanaoenda posta
 
Wewe pamoja na hao watu Kigali ndiyo hamna critical thinking, kwani haingii akilini moja ya nchi maskini kuliko zote Duniani yenye per capital ya chini ya 800 USD ianzishe Kampeni dhidi ya matumizi ya magari, nijuavyo mimi Wazungu na nchi nyingine zilizoendelea ndiyo hufanya hivi lkn huamua kufanya kwa sababu hakuna sababu ya Mwananchi wa nchi kuwa gari kwani kila kitu kipo na kinafanya kazi, sasa Rwanda unapoanzisha kampeni ya anti magari wakati 3/4 ya wananchi wake wanatembea zaidi ya kilometa 20 kufwata huduma za jamii hiyo ni akili au matope?
Soon utasikia wanahamasisha wananchi kupekecha moto badala ya kutumia kiberiti, eti wanaokoa miti!!!!

Hawajui kuwa wako zuu, wazungu wanakuja na vindizi wakirushiwa wanajitoa mpaka kaufamu kadogo walikonako.
 
Back
Top Bottom