Mpasuajipu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 836
- 49
:tape:
Jamani wana Mjengo wa Jf
Kati ya demu wa Kinyarwanda au Mkenya wa Mombassa ungechagua kuelekeza majeshi pande ipi ikiwa wote wana sifa za uzuri na mamejaaliwa kisawa sawa? Kuna rafiki yangu yuko njia panda tumsaidie kwa kutoa sifa na tabia mbalimbali za mademu wa nchi hizi kwa wale wanaowafahamu vizuri pengine itampa mwanga kidogo.This is not a joke, mie nimewaona wote na nimechanganyikiwa na bado natafakari jinsi ya kumsaidia, ila picha zao siwezi kuzibandika humu.
Hawa wakikutana na watu wa kwao baba, we andika maumivu, haijalishi mmekuwaJamani wana Mjengo wa Jf
Kati ya demu wa Kinyarwanda au Mkenya wa Mombassa ungechagua kuelekeza majeshi pande ipi ikiwa wote wana sifa za uzuri na mamejaaliwa kisawa sawa? Kuna rafiki yangu yuko njia panda tumsaidie kwa kutoa sifa na tabia mbalimbali za mademu wa nchi hizi kwa wale wanaowafahamu vizuri pengine itampa mwanga kidogo.This is not a joke, mie nimewaona wote na nimechanganyikiwa na bado natafakari jinsi ya kumsaidia, ila picha zao siwezi kuzibandika humu.
Hawa wakikutana na watu wa kwao baba, we andika maumivu, haijalishi mmekuwa
pamoja muda gani ................ mi Mombasa siendi tena, Majengo siendi tena .........
Kwangu Yaeda Chini tu ............ nyumbani ni nyumbani .....
Uzuri majibu unayo, sie jupo jamvini ............ utujuze yakikusibu .............hiyo haina upele mzee ntakaza roho tu