KIGALI ARENA nishida!!

Maendeleo yana gharama kubwa sana. Na kuyalinda pia ni gharama. Tusisahau kuendelea mbele hata baada ya kufika tuilikofika
 
Ingekuwa bongo wale wapumbavu tayari wangeshaleta yale mambo yao ya,"Bibi yangu kule kijijini atanufaikaje?."

Safi.
Wazee wa tunatekeleza sikuhizi hawatuonyeshi maendeleo ya uwanja wa mfalme wa Morocco au hautekelezeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ