Kigali Airport vs Dar airport (Video)

336d72aac9d539517db50c33ef0fd29f.jpg
 
Departure ndogo sana,haina mpangilio mzuri! Ila wamejitahidi Jnia inatakiwa maboresho tu kidogo! Jamaa wana fleet ya ndege za kutosha apo air Tanzania wanasubiri miaka mia moja! Airport security control ni nzuri sana sio bongo kishkaji mno. Wadada wa uku very humble alafu wazuri sana! Watu wanaishi kwa amani sana
 
Kigali Airport has set it sights on becoming an international transit hub competing directly with Nairobi (and its tribal JKIA plus deteriorating Kenya Airways). Anyone who knows Rwanda and its recent history has to believe that they will accomplish this. But they are definitely not there yet. The airport is completely new and staff are friendly and supportive.
 
karibuni wandugu, Watanzania na wanaija ndo wanaheshimika zaid kwa kuhonga mihela ya maana, enzi zile za awamu iliyopita wapo vigogo walituma tiketi warembo kuwafuata Darisalama kwa pesa ya umma, infact mashirika ya ndege ya afrika mashariki yalitengeneza pesa sana kwa ufisadi huu.
 
Nyie ni wanyarwada ama watanzania ama wakenya. Nonsence should start from your brain. Wanyarwanda ni wazalendo wanalipa kodi bila kusukumana. Wewe unayeongea hapo ni mkwepa kodi mkubwa then unalalamika uwanja mbaya. Unasifia vitu ambavyo wanaume wenzako wamefanya. Utaolewa. I hate watu ambao wanasifia nchi zingine na kuponda nchi yao
 
Bingo Movie zatua Rwanda
 
Attachments

  • downloadfile-4.jpeg
    downloadfile-4.jpeg
    99 KB · Views: 38
watu wako tayari kununua nyuchi kwa bei hio huku hawajawahi kuwanunulia mama zao hata sabuni. nilshasema sitakaa kununua nyuchi mpaka siku ya kaburin
 
Nyie ni wanyarwada ama watanzania ama wakenya. Nonsence should start from your brain. Wanyarwanda ni wazalendo wanalipa kodi bila kusukumana. Wewe unayeongea hapo ni mkwepa kodi mkubwa then unalalamika uwanja mbaya. Unasifia vitu ambavyo wanaume wenzako wamefanya. Utaolewa. I hate watu ambao wanasifia nchi zingine na kuponda nchi yao
Mbona umemkasilikia sana jamaa? Tangu Uhuru kwani KODI ilikuwa hailipwi? kuna kipi cha maana kimefanyika ikiwa hata Madawati tumeshinfwa...
sidhani kama kuna asiependa kulipa Kodi tatizo watawala wanatumia KODI isivyo...
 
Back
Top Bottom