Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,387 Aug 28, 2012 #21 Molemo said: Tunamwandaa kugombea jimbo la Kibakwe kupambana na Simbachawene.... Click to expand... Kwa nini asigombee Kawe anapoishi?
Molemo said: Tunamwandaa kugombea jimbo la Kibakwe kupambana na Simbachawene.... Click to expand... Kwa nini asigombee Kawe anapoishi?
kipipili JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 1,587 Reaction score 188 Aug 28, 2012 #22 GeniusBrain said: Sasa Kamanda Kigaila,unataka Jimbo gani? Chagua.... Kwi kwi kwiiiii ana elimu gani vile ? kwani katiba mpya inakuja na wasio kuwa na degree hawapaswi kugombea ubunge na yeye ameishia darasa la 7, kwi kwi kwiiiiiiiii Click to expand... kwikwikwikwi bwegebrain bana, kigaila amemaliza UDSM faculty of science kama sikosei 1999 na aliwahi kugombea vice presdent wa students govt kumbu kumbu zangu zinanionesha alishindwa kwasababu alikuwa supported na engineering kwikwikwikwi. source : mimi mwenyewe nilkuwepo engineering.
GeniusBrain said: Sasa Kamanda Kigaila,unataka Jimbo gani? Chagua.... Kwi kwi kwiiiii ana elimu gani vile ? kwani katiba mpya inakuja na wasio kuwa na degree hawapaswi kugombea ubunge na yeye ameishia darasa la 7, kwi kwi kwiiiiiiiii Click to expand... kwikwikwikwi bwegebrain bana, kigaila amemaliza UDSM faculty of science kama sikosei 1999 na aliwahi kugombea vice presdent wa students govt kumbu kumbu zangu zinanionesha alishindwa kwasababu alikuwa supported na engineering kwikwikwikwi. source : mimi mwenyewe nilkuwepo engineering.