Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
Tunamwandaa kugombea jimbo la Kibakwe kupambana na Simbachawene....
Kwa nini asigombee Kawe anapoishi?
Tunamwandaa kugombea jimbo la Kibakwe kupambana na Simbachawene....
kwikwikwikwi bwegebrain bana, kigaila amemaliza UDSM faculty of science kama sikosei 1999 na aliwahi kugombea vice presdent wa students govt kumbu kumbu zangu zinanionesha alishindwa kwasababu alikuwa supported na engineering kwikwikwikwi.Sasa Kamanda Kigaila,unataka Jimbo gani? Chagua....
Kwi kwi kwiiiii ana elimu gani vile ? kwani katiba mpya inakuja na wasio kuwa na degree hawapaswi kugombea ubunge na yeye ameishia darasa la 7, kwi kwi kwiiiiiiiii