Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Tatizo la kifedha sio la CHAUMMA pekee yake, tatizo la fedha ni la vyama vyote vya upinzani, kwasababu havina msingi imara wa mapato. Kwahiyo kampeni za vyama vya upinzani zinategemea kwa sehemu kubwa mapato ya mgombea binafsi mfano chama kama CHAUMMA akina ruzuku kinapata , kwahiyo ni nguvu ya mgombea binafasi alisema Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu (Bara), wa CHAUMMA kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV Oktoba 14, 205.