Kifuta Jasho cha Wikiendi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifuta Jasho cha Wikiendi!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkeshahoi, Jul 9, 2010.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wapendwa..
  nimeinasa asubuhi redioni katika hekaheka za kusaka ugali wa kila siku....
  Zaidi ya asilimia 50 ya vdume waliopima vinasaba(DNA) vya watoto, wameonekana si baba halisi(kibaiolojia) wa watoto wao...
  Wadau..ingekuwa wewe ndo mmoja wao hao wazazi wa kiume....ungefanyaje...?
  Kwa wale tunaotafuta yule alopew sehemu ya ubavu wet na muumba...hii ni ishara gani?tutaikabilije?
  NAWAPENDENI SANA...WKEND NJEMA!!
   
 2. m

  mtyangimboli Member

  #2
  Jul 10, 2010
  Joined: Jun 25, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kama mtoto ni mmoja tu na ndo wa jamaa mwingine, nadhani hapo ninampa talaka tatu ili aende akaendelee kuzaa wengine na huyo jamaa. Nadhani nitakuwa safe zaidi nisipoendelea kumwona huyo mwanamke. you know for some women, you can be the husband but when it comes conception, they choose a father and they will go for the man they love most ndo awape mimba ili wewe ulee. inauma asee
   
 3. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mkuu hiyo ni nchi gani?
   
 4. K

  Keil JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Taarifa hii inabidi ichambuliwe kwa uangalifu mkubwa. Kwanza kupima siyo lazima, hivyo wanaokwenda kupima DNA za watoto wao ni wale ambao wana wasiwasi kwamba wenzi wao sio waaminifu. Hapa ni sawa na uchukue watu 20 ambao wana dalili za ugonjwa flani, ukienda kuwapima lazima utakuta wengi wao wana ugonjwa huo.

  Kwa hiyo, hiyo asilimia 50 ni ya wale ambao waliwatilia mashaka wenzi wao na sidhani kama inawakilisha majority of marriages or relationships.
   
 5. Ramthods

  Ramthods JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mkuu umezungumza point.

  Pia, kwa wale wanaume wanaochukua wanawake kwa vigezo vya fedha, umaarufu n.k. bila kuzingatia kama mwanamke kampenda kwa moyo wake wote, hii ndio zawadi yao.

  Don't let a woman choose you. Let her heart choose you!
   
Loading...