Kifurushi kipi cha DSTv kinafaaa?

Mkwanga

Senior Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
146
Reaction score
20
Jman wadau eti kifurushi cha bei gani unaweza pata chanel ya mpira kwenye dstv maana hiki cha 17000 hakuna kitu..?
 
Kuna wadau humu wanauza ving'amuzi toka China mipira mwanzo mwisho wanaweza kutusaidia
 
Lipia kifurushi cha premier na utapata au kutizama SuperSport zote kuanzia 1 - 14...kwa mwezi ni Tshs 140,000.

Kumbuka starehe gharama.
 
lipia premium package.unapata super sport 1 mpaka 9.
 
Inategemea unapenda kuangalia ligi ya nchi gani. Kama decoder yako ni ya HD unaweza ukalipia kifurushi cha Compact ila utaongeza USD10 nadhani kifurushi chake kwa HD itakuwa kwenye Tshs. 73,000 kwa ajili ya channels za HD. Utaona channels zone za HD (mfano. SS3HD, SS5HD na SS6HD) ikiwemo SS9, SS Select nadhani ziko 2 ila SS zingine. (SS1,SS2,SS4,SS7) hutaweza kuziona.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jman wadau eti kifurushi cha bei gani unaweza pata chanel ya mpira kwenye dstv maana hiki cha 17000 hakuna kitu..?

Mkuu hata usihangaike kulipia Premium kwa kuwa ina michaneli mingine ya michezo ya ajabu ajabu ambayo sidhani kama utakuwa interested...

Lipia Compact Plus ambayo kwa sasa ni 92,000/= na utaweza kuona chaneli zifuatazo:

SS Select
SS 2 Select
SS East Africa
SS 9
SS 7
SS 3

Hapo wataka nini tena mkuu maana SS3 na SS7 huwa zaonesha game zote muhimu za EPL n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…